Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Hapo ndipo tabu ilipo, mtu anakubania halafu mchezo wenyewe uko kama kamari kuna mda unapigwa mashine na magraph unachoma account kabisa. Kufundishana watu wanaleta roho mbaya wengine ndio wanatumia kama mwanya wa kuwapiga wenzao hela!
Ha ha ha
 
Nyie ndo rahisi sana kuhadaiwa, ndomana mnapigwa pesa kichwa kichwa, mtu kukuonesha mafanikio yake haimaanishi na wewe utapata mafanikio hayo hayo, akikuonesha leo ana magari na manyumba unajua kwa huko kabla alipoteza nini akaingia madeni kiasi gani, hata anayelima akakwambia mwaka jana nimepiga hekari sita nikapata milioni 400 mauzo unajuaje amehangaikaje, usiangalie mafanikio ya mwisho angalia struggles mkuu, unaweza ukapata siku umetrade slot moja tu ukavuna milioni 100 ila kuna siku ulitrade ukapoteza akaunti nzima na ya jirani, so angalia struggles, not success, utaangukia pua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati mbaya hata hapa tunaoneshwa success tu, mbaya zaidi success zenyewe $50/100/200 haishawishi hata kidogo.
 
Ebana eeeeh wadau. Wiki hii nilikuwa bize kuchati kwa sababu soko halikuwa Good coz ni mwanzo wa season kama kawaida soko linakuwa very slow. Ila next wiki naamini litarudi kama kawaida.

Stay Blessed. Never Get Twisted na hawa akili ndogo wenye Njaa za akili. Stay Focused. Ups and downs ni kawaida katika maisha. Tupambane.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee...tusaidieni akili ndogo tujikwamue.
 
Mara hazishawishi, mara tusaidieni, halafu inakuwaje hukauki kwenye nyuzi za forex?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo humu kuangalia kama kuna possibility ya kupata hela nyingi. $100/200 hainishawishi. Kuna siku Ontario aliweka faida $18,000 in a week ile siku nilishawishika nikasema itabidi niingie huku. Nilianza mkakati huku nafanya uchunguzi wangu,kifupi sikuingia kwa yaliyotokea. Kwahio ukiniona hapa natafuta information.
 
Mimi nadhani ulitakiwa kujua tu whether biashara inalipa au hailipi, kuangalia nani amepata shngapi sio sahihi kwa sababu hata kwenye biashara za kawaida watu wanaweza kuwa wanafanya biashara moja lakini kila mtu anapata faida yake kutegemea mtaji alionao, ubora wa bidhaa, customer care e.t.c na sumu kubwa katika forex ni kufanya biashara hii kwa kuangalia fulani amepata kiasi fulani na mimi nataka nipate hiyohiyo maana unaweza kujikuta unafanya kwa mihemko na hakuna kitu kibaya kama hicho

Mkuu kama unataka kufanya biashara yoyote ( Si tu Forex ) Kwasababu umesikia mtu ametengeza kiasi kadhaa Kwa wiki au mwezi upo katika dalili za awali za kupata hasara katika biashara hiyo kabla ya kuanza biashara.

Sijawahi kusikia Mfanyabiashara yoyote duniani aliefanikiwa alijiingiza kwenye biashara kwasababu za kuvutiwa na kiwango cha Pesa alichosikia kimetengenezwa na MTU flani. Ukiingia kwenye biashara yoyote kwa mantiki hiyo lazima ulie mwisho wa siku. Unakumbuka waliovamia biashara ya matikiti, Mayai ya kwale n.k.. Kawaulize sasa hivi kilichowakuta. Wengine waliambiwa heka moja ya matikiti unaweza kupata million 30.

Hata wale walioenda pale kWa Ontario nilijua kuanzia mwanzo wengi watapata hasara. Kwasababu wengi walijiunga na forex kwa vigezo kama vyako.

NB: Nakuomba utafute maarifa mitandaoni. Kama ni mvivu wa kusoma itumie YouTube vizuri. Hakuna ambacho hakipo YouTube. Mimi asilimia zaidi ya 80 ya knowledge ya Forex nimejifunza mwenyewe kwa msaada wa YouTube na Vitabu. Kutoka YouTube kuna MTU anaitwa Adam Khoo huyu ndio kanisaidia sana sana. Nadhani ni RAIA wa Indonesia. Ana video yake kule ya forex introduction lazima uelewe.

NB: Forex sio biashara ya kupata biashara haraka kama unavyodhani. Tembelea tutorial zote za waliofanikiwa lazima uambiwe hiki. Kufanikiwa haraka ni wewe tu na knowledge yako. Kuna Jamaa namfahamu mwezi December kaweka capital ya USD 1000 na Leo tunavyozungumza ana USD 12,000... Ila kuna wengine kwa kiasi hicho hicho mpaka sasa wameshachoma account. Nadhani kwa huo mfano utakuwa umejifunza kitu.

Lastly usiingie kwenye forex kwa kushawishiwa na posts za profits. Ingia kwenye biashara kwa kuelewa biashara ilivyo. Hizo Pesa ni matokeo ya juhudi zako tu.
Amini nakwambia siku ukija kujua real Forex ilivyo, utajikataa mwenyewe. Achana na hii ya WALIMU uchwara wa kufundishana kila siku support & resistance, etc.Jifue mwenyewe halafu ulete mrejesho hapa.

Have a good Blessed Sunday.
Regards.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nadhani ulitakiwa kujua tu whether biashara inalipa au hailipi, kuangalia nani amepata shngapi sio sahihi kwa sababu hata kwenye biashara za kawaida watu wanaweza kuwa wanafanya biashara moja lakini kila mtu anapata faida yake kutegemea mtaji alionao, ubora wa bidhaa, customer care e.t.c na sumu kubwa katika forex ni kufanya biashara hii kwa kuangalia fulani amepata kiasi fulani na mimi nataka nipate hiyohiyo maana unaweza kujikuta unafanya kwa mihemko na hakuna kitu kibaya kama hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nitajuaje kuwa biashara inalipa au hailipi ? Wanaofanya ni watu na kupitia kwao ndio nitajua inalipa au hailipi. Na Forex sio kama biashara ya mkaa kwamba utatembea physically ukaone stoo ya mtu. Ningekuwa nawehuka na screenshots ningeshaingia, ndio maana nimeandika Ontario alipost $18,000 nikafanya uchunguzi wangu sikuingia tu kichwa kichwa kisa nimeona $18,000. Msichukulie challenge za watu negatively, wengine wana dig information that way.
 
Ulivyofanya uchunguzi wa $18,000 ukagundua nini?

Ndivyo/sivyo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom