joely sandu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 1,962
- 1,818
Ha ha haHapo ndipo tabu ilipo, mtu anakubania halafu mchezo wenyewe uko kama kamari kuna mda unapigwa mashine na magraph unachoma account kabisa. Kufundishana watu wanaleta roho mbaya wengine ndio wanatumia kama mwanya wa kuwapiga wenzao hela!
Bahati mbaya hata hapa tunaoneshwa success tu, mbaya zaidi success zenyewe $50/100/200 haishawishi hata kidogo.Nyie ndo rahisi sana kuhadaiwa, ndomana mnapigwa pesa kichwa kichwa, mtu kukuonesha mafanikio yake haimaanishi na wewe utapata mafanikio hayo hayo, akikuonesha leo ana magari na manyumba unajua kwa huko kabla alipoteza nini akaingia madeni kiasi gani, hata anayelima akakwambia mwaka jana nimepiga hekari sita nikapata milioni 400 mauzo unajuaje amehangaikaje, usiangalie mafanikio ya mwisho angalia struggles mkuu, unaweza ukapata siku umetrade slot moja tu ukavuna milioni 100 ila kuna siku ulitrade ukapoteza akaunti nzima na ya jirani, so angalia struggles, not success, utaangukia pua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee...tusaidieni akili ndogo tujikwamue.Ebana eeeeh wadau. Wiki hii nilikuwa bize kuchati kwa sababu soko halikuwa Good coz ni mwanzo wa season kama kawaida soko linakuwa very slow. Ila next wiki naamini litarudi kama kawaida.
Stay Blessed. Never Get Twisted na hawa akili ndogo wenye Njaa za akili. Stay Focused. Ups and downs ni kawaida katika maisha. Tupambane.
Sent using Jamii Forums mobile app
150,000/-......Forex ukiijua raha sana nimeweka $61 alhamisi saa 9 alasiri hadi ijumaa uck nimefikisha $115 yaan faida ya $54 alfu mtu anatoka alikotoka anasema forex uwizi kwa akili yenu vyuma vitabana sana $54 ni sawa 125,000/= hapo nimekaa na Moshe zingine zinaenda View attachment 986364
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara hazishawishi, mara tusaidieni, halafu inakuwaje hukauki kwenye nyuzi za forex?Bahati mbaya hata hapa tunaoneshwa success tu, mbaya zaidi success zenyewe $50/100/200 haishawishi hata kidogo.
Aisee...tusaidieni akili ndogo tujikwamue.
Maisha ndio yalivyo boss kazi, wanasema forex is not for everyoneHa ha ha
Yes. Forex is not for everyone. Wacha wengine tuendelee kuuza mkaa.Maisha ndio yalivyo boss kazi, wanasema forex is not for everyone
Bahati mbaya hata hapa tunaoneshwa success tu, mbaya zaidi success zenyewe $50/100/200 haishawishi hata kidogo.
Nipo humu kuangalia kama kuna possibility ya kupata hela nyingi. $100/200 hainishawishi. Kuna siku Ontario aliweka faida $18,000 in a week ile siku nilishawishika nikasema itabidi niingie huku. Nilianza mkakati huku nafanya uchunguzi wangu,kifupi sikuingia kwa yaliyotokea. Kwahio ukiniona hapa natafuta information.Mara hazishawishi, mara tusaidieni, halafu inakuwaje hukauki kwenye nyuzi za forex?
Sent using Jamii Forums mobile app
NIPO HATA SIJAPOTEA MKUU, AAH NAMBA MOJA NIMEACHA SIKU HIZI..MAMBO MENGI
Nipo humu kuangalia kama kuna possibility ya kupata hela nyingi. $100/200 hainishawishi. Kuna siku Ontario aliweka faida $18,000 in a week ile siku nilishawishika nikasema itabidi niingie huku. Nilianza mkakati huku nafanya uchunguzi wangu,kifupi sikuingia kwa yaliyotokea. Kwahio ukiniona hapa natafuta information.
Kwamba ulikuwa ni utoto[emoji23][emoji23][emoji23]Utoto umeisha.
Mwenza nawe unatrade? Hii kitu bado naisoma, hadi kieleweke.
Forex is for zombiesMaisha ndio yalivyo boss kazi, wanasema forex is not for everyone
Mkuu kama unataka kufanya biashara yoyote ( Si tu Forex ) Kwasababu umesikia mtu ametengeza kiasi kadhaa Kwa wiki au mwezi upo katika dalili za awali za kupata hasara katika biashara hiyo kabla ya kuanza biashara.Nipo humu kuangalia kama kuna possibility ya kupata hela nyingi. $100/200 hainishawishi. Kuna siku Ontario aliweka faida $18,000 in a week ile siku nilishawishika nikasema itabidi niingie huku. Nilianza mkakati huku nafanya uchunguzi wangu,kifupi sikuingia kwa yaliyotokea. Kwahio ukiniona hapa natafuta information.
Sasa nitajuaje kuwa biashara inalipa au hailipi ? Wanaofanya ni watu na kupitia kwao ndio nitajua inalipa au hailipi. Na Forex sio kama biashara ya mkaa kwamba utatembea physically ukaone stoo ya mtu. Ningekuwa nawehuka na screenshots ningeshaingia, ndio maana nimeandika Ontario alipost $18,000 nikafanya uchunguzi wangu sikuingia tu kichwa kichwa kisa nimeona $18,000. Msichukulie challenge za watu negatively, wengine wana dig information that way.Mimi nadhani ulitakiwa kujua tu whether biashara inalipa au hailipi, kuangalia nani amepata shngapi sio sahihi kwa sababu hata kwenye biashara za kawaida watu wanaweza kuwa wanafanya biashara moja lakini kila mtu anapata faida yake kutegemea mtaji alionao, ubora wa bidhaa, customer care e.t.c na sumu kubwa katika forex ni kufanya biashara hii kwa kuangalia fulani amepata kiasi fulani na mimi nataka nipate hiyohiyo maana unaweza kujikuta unafanya kwa mihemko na hakuna kitu kibaya kama hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulivyofanya uchunguzi wa $18,000 ukagundua nini?Sasa nitajuaje kuwa biashara inalipa au hailipi ? Wanaofanya ni watu na kupitia kwao ndio nitajua inalipa au hailipi. Na Forex sio kama biashara ya mkaa kwamba utatembea physically ukaone stoo ya mtu. Ningekuwa nawehuka na screenshots ningeshaingia, ndio maana nimeandika Ontario alipost $18,000 nikafanya uchunguzi wangu sikuingia tu kichwa kichwa kisa nimeona $18,000. Msichukulie challenge za watu negatively, wengine wana dig information that way.