Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Ontario bhana nukuu yake moja kajamaa kanasema hii biashara ya forex hata bank hawaijui na hawatak kabisa uijue, duh salute sana ontario




Sent using Jamii Forums mobile app
Umemiss quote ONTARIO, hakusema kwamba hta benki hawaijui hii biashara ya forex. Alichosema ni kwamba benki zinafanya hii biashara ya forex lakini kuna wafanyakazi wengi tu wa benki ambao hawaijui au hawajui kama benki zinafanya hii biashara. HILO NI KWELI SI KILA MFAKAZI WA BENKI ANAJUA KILA KITU KINACHOENDELEA NDANI YA BENKI ZIKIWEMO NA HASARA AMBAZO BENKI ZINAPATA. KUNA MAMBO MENGINE YA KIBENKI SIYO YA KU EXPOSE HOVYO HOVYO KWA KILA MFANYAKAZI WA BENKI.
 
Watu wanapiga pesa kila siku.. forex inahitaji umakini wa hali ya juu, patient, risk management (hapa ndio tatizo lipo)
Bora ukalime vitunguu, nyanya.. waachien big boys
 
Utakuja kumuelewa baadae sana, na huku ikiwa ni too late kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duuh kajenga Hosp kwa Forex...[emoji23][emoji23][emoji23] Huyo itakuwa alikuwa anashinda Library kusomaa piaa anajua Forex kuliko kitu chochotee

Sent using Jamii Forums mobile app
Usifikire kwamba forex unasoma tuuu, vitabu kama unataka kuwa professor.

Ile unasoma ukishaijua unarudi kwenye chart na kufuatilia kinachojiri duniani katika ulimwengu wa matukio ya kiuchumi na siasa basiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba link ya hiyo channel mkuu nikachote maarifa kidigo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii BITCOIN ilimliza ndugu yangu mwaka Jana kaingiza million yake asubir miezi minne ile ya kuvuna,longolongo zikaanza Mara kuna tatizo linshughulikiwa Mara malipo yamepunguzwa,pesa zikaenda hakupata chochote ,saivi hataki kusikia hizi habari
 
Hii BITCOIN ilimliza ndugu yangu mwaka Jana kaingiza million yake asubir miezi minne ile ya kuvuna,longolongo zikaanza Mara kuna tatizo linshughulikiwa Mara malipo yamepunguzwa,pesa zikaenda hakupata chochote ,saivi hataki kusikia hizi habari
unaona sasa, tatizo tunapenda hela za chapchap bila ya kuzivujia jasho
 
Daah nimecheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…