hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
HahaaaaMshikaji wako atakuwa alikutana na mdogo wangu anaitwa Ontario hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaaaMshikaji wako atakuwa alikutana na mdogo wangu anaitwa Ontario hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wakufungua multiple ids halafu kwenye uzi wao wanajazana kibao " I'd hii iki comment hii inatetea hoja" .... wewe ukikaa huelewi kumbe wanakuchota akili .. zile I'ds zote zina milikiwa na mtu mmoja haha ....Wenyewe wanakwambia "Forex not for everone"
Hahaa ndio hivyo mpaka LemaKwa hiyo unataka kusema bwana Maxence Melo na bwana Ruge walichezea za uso.
Haaaaaahaa basi ni nouma
AiseeMdogo wangu kauza nyumba mwanza nyakato kwa huu upuuzi, nilimkataza lkn wapi mwisho wa cku nyumba ikaitwa Forex
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha wanahalalisha kupoteza pesa duh !!!Wazee wa forex wanakwambia ili ufanikiwe kwenye forex lazima uchome account kwanza.
Haha utauza mpaka boxer aisenipo kwenye huu mtangane tangia mwaka Jana ila saachi milele pamoja na vitasa ninavyopigwa ila naona kila siku naimprove
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaKama anacheza forex basi ni halali yake kuuza vitu, sababu what I know ni kwamba forex haichezwi.
Sent using Jamii Forums mobile app
IKO HIVINilikuza $40 mpaka ikakaribia 500, stop loss ikatembea na mzigo wote siku ya news CAD baada ya hapo kila nikijipanga wanaondoka na mzigo mazima, nikasema nitakuja kulaza njaa watoto!
Naona unapeperusha bendera kweli kweliUnaingiza £$€ ngapi kwa mwezi?
Yule dogo sijui alikuwa jasusi la CIA maana alikuwa anawatapeli watu mita kumi kutoka yalipo makao makuu ya usalama wa taifa... Can you imagine?Wazee wakufungua multiple ids halafu kwenye uzi wao wanajazana kibao " I'd hii iki comment hii inatetea hoja" .... wewe ukikaa huelewi kumbe wanakuchota akili .. zile I'ds zote zina milikiwa na mtu mmoja haha ....
Waweza kuona uzi umejaa I'd karibia 50 zinatetea kuwa forex ni real kumbe ids hizo zina milikiwa na watu wa tatu tu ..wenye simu tofauti tofauti .... Daah Ontario noma sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina staajabisha "... lakini DSTV wa awamu hii wako busy zaidi na wapinzani ' mambo ya maslahi nyeti ya taifa wameyapa nafasi ndogoYule dogo sijui alikuwa jasusi la CIA maana alikuwa anawatapeli watu mita kumi kutoka yalipo makao makuu ya usalama wa taifa... Can you imagine?
Hahahahah anafananisha forex na bitclubHahaha na akili zako ukapeleka hela bitclub hahahahaha , hii nchi ina wagonjwa wa akili , yaani ukishindwa hata ingia google usome zaidi Nini maana ya hiyo bitclub....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee was bitclub hahahahah poleni sanaAchana nayo mawatu mengine ukute ni mawakala ya hizo biashara yanatumika tu kama chambo humu kuwavutia wateja ili wazidi kutapeli Watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hats ardhi ukinunua bila kuikagua kila kitu had I uhalali wake utapigwa sana na matapeliWatu wanaingia FOREX kutrade kwa bahati wakitegemea watapiga pesa kwa ngekewa.
Hata madini ukiena wekeza bila kufanya analysis utanunua shimo ambalo halitemi daima
Your last point[emoji123]Kuna group moja la forex jamaa kaelezea mkasa wake huo wa jamaa yako cha mtoto.
Yeye anasema pia alipocheza Mara ya kwanza akala,akachukua 3m akafund account akajilipua usiku asubuhi akakuta acc hoi,kwakua hakujua kosa lake akakopa mtu m kadhaa akazipoteza ikamlazimu kuuza gari take arudishe pesa.
Ukishasikia mtu anasema nimecheza&nacheza forex huyo hajui alitendalo,forex ni serious issue, aichukulie kama anavyosoma chuo.
Watu wanapiga pesa kila siku.. forex inahitaji umakini wa hali ya juu, patient, risk management (hapa ndio tatizo lipo)
Bora ukalime vitunguu, nyanya.. waachien big boysView attachment 992557
Duuh Templer huyuhuyu wanayempiga majunguWatu wanapiga pesa kila siku.. forex inahitaji umakini wa hali ya juu, patient, risk management (hapa ndio tatizo lipo)
Bora ukalime vitunguu, nyanya.. waachien big boysView attachment 992557