Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Wenyewe wanakwambia "Forex not for everone"
Wazee wakufungua multiple ids halafu kwenye uzi wao wanajazana kibao " I'd hii iki comment hii inatetea hoja" .... wewe ukikaa huelewi kumbe wanakuchota akili .. zile I'ds zote zina milikiwa na mtu mmoja haha ....

Waweza kuona uzi umejaa I'd karibia 50 zinatetea kuwa forex ni real kumbe ids hizo zina milikiwa na watu wa tatu tu ..wenye simu tofauti tofauti .... Daah Ontario noma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuza $40 mpaka ikakaribia 500, stop loss ikatembea na mzigo wote siku ya news CAD baada ya hapo kila nikijipanga wanaondoka na mzigo mazima, nikasema nitakuja kulaza njaa watoto!
IKO HIVI

moja hukufuata RM. ndio sababu ya kuchoma

Mbili ulipaswa u trail stop orders zako yaani unablock pips kadhaa ulizopata faida unaweka stop juu ya entry yako sio chini tena.

Tafuta kwakuwa kulikuwa na high volatility news ulipaswa ufungue orders zako and call it a day



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wakufungua multiple ids halafu kwenye uzi wao wanajazana kibao " I'd hii iki comment hii inatetea hoja" .... wewe ukikaa huelewi kumbe wanakuchota akili .. zile I'ds zote zina milikiwa na mtu mmoja haha ....

Waweza kuona uzi umejaa I'd karibia 50 zinatetea kuwa forex ni real kumbe ids hizo zina milikiwa na watu wa tatu tu ..wenye simu tofauti tofauti .... Daah Ontario noma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule dogo sijui alikuwa jasusi la CIA maana alikuwa anawatapeli watu mita kumi kutoka yalipo makao makuu ya usalama wa taifa... Can you imagine?
 
Hahaha na akili zako ukapeleka hela bitclub hahahahaha , hii nchi ina wagonjwa wa akili , yaani ukishindwa hata ingia google usome zaidi Nini maana ya hiyo bitclub....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah anafananisha forex na bitclub

Huyo jamaa ni bumbulaaz ndomaana kapigwa

Ndo maana anaona forex upuuzi .

Hahahah

Nina Fanya forex geto kwangu ni Mimi na broker wangu ambaye yuko UK hakuna mbongo wala nani hapo kati

Mimi,broker na soko(chart zangu)

Sasa nani atanipiga

RAIA acheni ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaingia FOREX kutrade kwa bahati wakitegemea watapiga pesa kwa ngekewa.
Hata madini ukiena wekeza bila kufanya analysis utanunua shimo ambalo halitemi daima
Hats ardhi ukinunua bila kuikagua kila kitu had I uhalali wake utapigwa sana na matapeli

Sasa sijui ni wapi ambapo hakuihitaji upembuzi yakinifu was kutake risk



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna group moja la forex jamaa kaelezea mkasa wake huo wa jamaa yako cha mtoto.
Yeye anasema pia alipocheza Mara ya kwanza akala,akachukua 3m akafund account akajilipua usiku asubuhi akakuta acc hoi,kwakua hakujua kosa lake akakopa mtu m kadhaa akazipoteza ikamlazimu kuuza gari take arudishe pesa.
Ukishasikia mtu anasema nimecheza&nacheza forex huyo hajui alitendalo,forex ni serious issue, aichukulie kama anavyosoma chuo.
Your last point[emoji123]
At least unajua unachoongea#bigup

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuuu Kuna watu wana salio kubwa hivyo kwa broker kama templer, kweli ma broker wote ni wamoja, ila unatakiwa uangalie anaekidhi vigezo vyako
Watu wanapiga pesa kila siku.. forex inahitaji umakini wa hali ya juu, patient, risk management (hapa ndio tatizo lipo)
Bora ukalime vitunguu, nyanya.. waachien big boysView attachment 992557

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom