[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anzaaa kutrade mzee demo unapotezaa mudaa...!!Forex watu watrade hata kwenye daladala kama jana kuna sister nilimcheki kwenye daladala sema nikasita kumongelesha asije nichamba na kusema nataka kumpola mapips na malots size bure sema alikua anatabasam sana huenda alikua anapinga pesa sana hahhaahhahhaha acha nikomae na demo
hahhaahhahaha ni mwendo wa demo mpaka milele ni kama nacheza game tu mzee hhahhhaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anzaaa kutrade mzee demo unapotezaa mudaa...!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah anafananisha forex na bitclub
Huyo jamaa ni bumbulaaz ndomaana kapigwa
Ndo maana anaona forex upuuzi .
Hahahah
Nina Fanya forex geto kwangu ni Mimi na broker wangu ambaye yuko UK hakuna mbongo wala nani hapo kati
Mimi,broker na soko(chart zangu)
Sasa nani atanipiga
RAIA acheni ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
SUCCESS COMES AFTER SUCRIFICE NDUGU! JEFF BEZOS ALIACHA KAZI KAMA MENEJA WA KAMPUNI LICHA KUONGEZW MSHAHARA, NA LEO ANATAWALA UCHUMU WA DUNIA BILA MASHARTI YA MTU. JIFUNZE KUTOKA KWAKE RAFIKI YAKO, USUMCHEKEAlianza kama utani baada ya kurudi likizo ya semister ya mwisho huyu mshikaji wangu wa chuo sijui alikutana na nani huko kwao akamshauri kuhusu mambo ya forex,
Alivyorudi akanisimulia kuhusu hiyo inshu mi nilichomwambia ni kitu kimoja tu hiyo kitu ya forex mi nilishasoma sana mada zake huko Jamii forum kwa kina Ontario na kujua hasara na faida zake kuna watu wameunguza acount zao wanalia kilio cha mbwa koko hakunisikia,
Sasa bhana wale watu aliokutana nao huku wakawa wanamshauri anatoka dom to dar kwenye semina na darasa lao na kila akirudi story ni forex,forex na yeye,
Basi bhana miezi kadhaa imepita baada ya kutrade sana na ile acount ya dermal kafungua real Account kinachomkuta huko mi sijui naona tu kila siku anauza vitu,
Alianza na Laptop yake min, akafata desk top yake ,juzi kati kauza mtungi mkubwa wa gase pamoja na jiko lake, naona kabakiwa na friji pamoja na kitanda na ata hivyo naona analipigia mahesabu friji anataka kuliuza na hilo sasa sijui kimempata nini huko kwenye forex,
Daily nampa ushauri aachane na hiyo biashara yake ya forex naona hanisikii sasa mi nasubiri kuona mwisho wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wazee wakufungua multiple ids halafu kwenye uzi wao wanajazana kibao " I'd hii iki comment hii inatetea hoja" .... wewe ukikaa huelewi kumbe wanakuchota akili .. zile I'ds zote zina milikiwa na mtu mmoja haha ....
Waweza kuona uzi umejaa I'd karibia 50 zinatetea kuwa forex ni real kumbe ids hizo zina milikiwa na watu wa tatu tu ..wenye simu tofauti tofauti .... Daah Ontario noma sana
Sent using Jamii Forums mobile app
SUCCESS COMES AFTER SUCRIFICE NDUGU! JEFF BEZOS ALIACHA KAZI KAMA MENEJA WA KAMPUNI LICHA KUONGEZW MSHAHARA, NA LEO ANATAWALA UCHUMU WA DUNIA BILA MASHARTI YA MTU. JIFUNZE KUTOKA KWAKE RAFIKI YAKO, USUMCHEKE
Haya, wacha nione maedeleo ya huyu jamaa yangukwani macho huoni jamaa kaweka akaunti yake hapo dola laki moja sio mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana wa siku hizi wanavutiwa zaidi na taarifa za uongo hata kama zina madhara makubwa mbeleni.Hii BITCOIN ilimliza ndugu yangu mwaka Jana kaingiza million yake asubir miezi minne ile ya kuvuna,longolongo zikaanza Mara kuna tatizo linshughulikiwa Mara malipo yamepunguzwa,pesa zikaenda hakupata chochote ,saivi hataki kusikia hizi habari
Mtu anayetapeliwa kwa sababu ya tamaa zake za kijinga. Acha atapeliwa tu.Yule dogo sijui alikuwa jasusi la CIA maana alikuwa anawatapeli watu mita kumi kutoka yalipo makao makuu ya usalama wa taifa... Can you imagine?
Upo sahihi kabisa,yatupasa kupambana hakuna hela ya bure,tufanye kazi kwa juhudi kwa ajili ya future zetu,nothing comes easy.Vijana wa siku hizi wanavutiwa zaidi na taarifa za uongo hata kama zina madhara makubwa mbeleni.
Hamna mzee waulize vizuri waeka screenshot za blue(za kula) watakwambia wamechoma sana akaunt kabla ya kuanza kufanikiwa na kudownload madolali mengi kwa siku.
Who told you forex ni kamali??Hamna mzee waulize vizuri waeka screenshot za blue(za kula) watakwambia wamechoma sana akaunt kabla ya kuanza kufanikiwa na kudownload madolali mengi kwa siku.
Wanakwambia forex inahitaji msuli na forex is not for everyone. Hizi kamali acha tu.
Hakuna alieniambia.Who told you forex ni kamali??
Sasa una bwatuka nn??Hakuna alieniambia.
Forex ni kamali (advanced betting).Sasa una bwatuka nn??
Kalime tikiti mkuu kama unaona ni bettingForex ni kamali (advanced betting).
Nimeupokea ushauri wako. Ila mvua hizi nimelima mahindi sasa hivi nimeshaanza kuwekaa miche ya mpunga kwenye majaruba yangu.Kalime tikiti mkuu kama unaona ni betting
saaafii sanaa broNimeupokea ushauri wako. Ila mvua hizi nimelima mahindi sasa hivi nimeshaanza kuwekaa miche ya mpunga kwenye majaruba yangu.