Kwahio mlikuwa na kitu kama TMT ?Acha kabisa
Wale ndugu zangu kama hawakufikia kuuza assets sijui
Biashara zilisimama tukawa na private office
Ni kutrade tu!
Kuna wanaobuy na wanaosell sellers wakitake control buyers wanapoteza
Sio akiviuza ni akitaka kuviuza.Akiviuza nitakupm mkuu ili ashike Adabu akija gheto kwangu namtimua
Sent using Jamii Forums mobile app
nipo kwenye huu mtangane tangia mwaka Jana ila saachi milele pamoja na vitasa ninavyopigwa ila naona kila siku naimprove
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna kipindi ilikua hivo mpk wakawa wanahis nmerogwa ila walipoanza kuona noti wakatuliaProndo: iyo Forex ickie2 umu kwenye mitandao usiombe uwe na ndugu mwenye huo urahibu hta mkeshe mnamsii ni kazi bure2
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheza na ww ili usiandikie mate nakati wino upo.Mbona humu tunaoneshwa screenshot za watu wanakula $$$ tu?!
Ninatrade forex na nlianza nikiwa chuo.... ila sijawahi fanya huo upuuzi wa kuweka ada eti ijizalishe, never. Nilikuwa nachukua hela yangu ya kula tu ndo nainvest.Chuoni Kuna jamaa angu ndio anataka atumie hela ya ada eti aizalishe kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa hili neno kucheza linavotumika... probably ndo maana watu hawafanikiwiKuna group moja la forex jamaa kaelezea mkasa wake huo wa jamaa yako cha mtoto.
Yeye anasema pia alipocheza Mara ya kwanza akala,akachukua 3m akafund account akajilipua usiku asubuhi akakuta acc hoi,kwakua hakujua kosa lake akakopa mtu m kadhaa akazipoteza ikamlazimu kuuza gari take arudishe pesa.
Ukishasikia mtu anasema nimecheza&nacheza forex huyo hajui alitendalo,forex ni serious issue, aichukulie kama anavyosoma chuo.
Hahahahahahah mkuu Deci ilikuwa kibokoHizi mtupu! Watu hawakumbuki DECI?
Tangu umeanza ushaingiza $€¥ ngapi?Ninatrade forex na nlianza nikiwa chuo.... ila sijawahi fanya huo upuuzi wa kuweka ada eti ijizalishe, never. Nilikuwa nachukua hela yangu ya kula tu ndo nainvest.
Soon or later atapata anachostahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo watu wengi wanafikiria vitu in short run....nipo kwenye huu mtangane tangia mwaka Jana ila saachi milele pamoja na vitasa ninavyopigwa ila naona kila siku naimprove
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanachezaje hiyo Forex Naomba nielekezwe Nijaribu Bahati Yangu.
Unaingiza £$€ ngapi kwa mwezi?Ctokuja kuacha huu ndo ulev wangu mbona watu wanabet acha kila mtu afanye anachojisikia kwenye moyo wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh aisee,alichokosea ni kukurupuka sana bila kujua,Ile angeenda taratibu na kujifunza,asingeugulia saizi..pole zake aiseeKarudi na kijijini, sbbu mimi nilimwambia kua MTAKA NYINGI NASABA upata mwingi MSIBA, na sina msaada na watu wa karba yake
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo hela isipozaa ajiandae kuzaa yeye whatever sex he isChuoni Kuna jamaa angu ndio anataka atumie hela ya ada eti aizalishe kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app