Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Nikiwa chuo mwaka wa tatu kuna jamaaa yangu alinishauri kuhusiana na biashara ya 'forever living products' kabla sijaingiza hata mguu mmoja nilianza kwa kufanya upelelezi kwanza...nilichogundua ni kwamba hizi biashara za njia ya kimtandao zinahitaji muda wa kutosha,elimu ya kutosha kuhusu biashara husika na mwisho kuna watu wanawatumia wenzao kama madaraja kufikia mafanikio!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haka kabiashara ukiingia kichwa kichwa utapigwa za uso sana..

Vijana kuweni makini, na sio FOREX na pia BITCOIN pamoja na NETWORK MARKETING kuweni makini nazo

USIJE UKASEMA HATUJAKWAMBIA, 2019 NI MWAKA WA MABADILIKO

Alishawahi kusema mtu ukiona unasisitizwa sana na kushawishiwa sana juu ya FURSA , kaa ujue kuwa wewe ndio FURSA!!!
 
Mbona humu tunaoneshwa screenshot za watu wanakula $$$ tu?!
Cheza na ww ili usiandikie mate nakati wino upo.

Prondo ni heri ukishindwa sana kufanya biashara yoyote basi uwe kama wale Mateja day worker wanaopiga debe kuhusu ukonda pale stendi Rafiki.

Hakuna utapeli unaoshamiri kwa kasi sana kama hizi biashara za mitandaoni.

Kuna Rafiki yangu m1 yuko Mwanza alinishawishi niingie QNET kwa mbwembwe nyiiingi za mafanikio ya rafiki zake nilitaka kuingia kwa 6,000,000/= lakini bahati mbaya nilipungukiwa kiasi cha 900,000/= na nilijitahidi kuitafuta zaidi ya wiki 1 niliipata kukamilisha 6,000,000/= lakini roho yangu ilisita sana.

Kifuatacho sasa hivi yule Rafiki yangu aliuza gari, nyumba na hadi sasa hivi anaishi kama shetani kwenye nyumba za kupanga.

Tafadhali kijana fanya biashara halisi(physically contact with customers) lakini hizi biashara za mitandao(online businesses) ni utapeli mtupu kwa 100%.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna group moja la forex jamaa kaelezea mkasa wake huo wa jamaa yako cha mtoto.
Yeye anasema pia alipocheza Mara ya kwanza akala,akachukua 3m akafund account akajilipua usiku asubuhi akakuta acc hoi,kwakua hakujua kosa lake akakopa mtu m kadhaa akazipoteza ikamlazimu kuuza gari take arudishe pesa.
Ukishasikia mtu anasema nimecheza&nacheza forex huyo hajui alitendalo,forex ni serious issue, aichukulie kama anavyosoma chuo.
Nashangaa hili neno kucheza linavotumika... probably ndo maana watu hawafanikiwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forex hawachezi no biashara inayohitaji usome zaid ya chuo kikuu narudia zaid ya masters hyo hats professor na pro yake hawez kufanya forex sio kitoto alfu forex ni rahis sana kupiga pesa kuliko hzo bet zenu ila shida ni moja tu usiwe mroho narudia uroho was kutaka upte kibubwa wakat mtaji wako mdogo ndo tatzo LA wengi
Wanachezaje hiyo Forex Naomba nielekezwe Nijaribu Bahati Yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom