Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Unataka kutuambia Bank kuu huwa wanatrade?
Yale mahati fungate huwa wanayatoa ya nini sasa?
Mnawaambukiza watu ugoro wakiibiwa mpate kamisheni!!!
Ficha umbumbumbu mkuu..... Sasa unadhani bila large financial institutions kushiriki volutality zinatoka wapi?? Chati itajitengenezajee??

Watu wengine mnatia aibu hadi kinyaa.

USHAURI WA BURE; download app inayoitwa investing, search pair ya TZSUSD kisha view chati yake halafu wakati huo huo tafuta exchange rate ya usd against tzs, anza kufuatilia jinsi ile exchange rate itakavyokuwa inabe printed kwenye chart kadili inavyobadirika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mwaka 2019. Siku ya kwanza tunaenda kuimaliza hiyo. Wale traders turudi kwenye mt4 zetu tufanye kazi mwisho wa siku kila mtu anajua anafanya nini. Tumetumia haki zetu za kikatiba kutoa maoni ya kuwajuza wenzetu fursa ya forex ila tumeishia kutukanwa na kubezwa unreasonably.

Please Soko linafunguliwa SAA saba usiku tuhamie kwa brokers wetu huko. Tutakutana hapa baada ya miezi kadhaa.

Hawana ujuzi wa kile wanachopinga, wanadhani opinion zao ndio ujuzi wenyewe...[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni probability!
Sasa haihusiani vipi na elimu zingine?
Unataka kutuambia Forex inamiliki ubahatishshaji kwa jia ya kuotea (yakijitokeza mawingu kidogo mnakimbilia kubashiri mvua kubwa itanyesha), kwa mshangao wenu upepo unayapeperusha mawingu mnajikuta mmeunguza account.
Ni kubashiri tu kama ilivyo kuitabiria kisha kuibashiria Liverpool tu!!
I once told one of my broski that this shit aint far from betting and as soon as I had said so, the boy just became furious.
 
Ni mwaka 2019. Siku ya kwanza tunaenda kuimaliza hiyo. Wale traders turudi kwenye mt4 zetu tufanye kazi mwisho wa siku kila mtu anajua anafanya nini. Tumetumia haki zetu za kikatiba kutoa maoni ya kuwajuza wenzetu fursa ya forex ila tumeishia kutukanwa na kubezwa unreasonably.

Please Soko linafunguliwa SAA saba usiku tuhamie kwa brokers wetu huko. Tutakutana hapa baada ya miezi kadhaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana, nimepiga vitabu mwaka mzima, nimejifunza mengi na mwaka huu lazima nitrade. Thank you for the positive advice!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ficha umbumbumbu mkuu..... Sasa unadhani bila large financial institutions kushiriki volutality zinatoka wapi?? Chati itajitengenezajee??

Watu wengine mnatia aibu hadi kinyaa.

USHAURI WA BURE; download app inayoitwa investing, search pair ya TZSUSD kisha view chati yake halafu wakati huo huo tafuta exchange rate ya usd against tzs, anza kufuatilia jinsi ile exchange rate itakavyokuwa inabe printed kwenye chart kadili inavyobadirika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yamekuwa hayo?
 
mi ninachowashauri wale wasioamnin fx tumia istagram yako kufolow matraders hasa wa south na kwingineko @ forexbrokerkiler n k muwe inspired

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni probability!
Sasa haihusiani vipi na elimu zingine?
Unataka kutuambia Forex inamiliki ubahatishshaji kwa jia ya kuotea (yakijitokeza mawingu kidogo mnakimbilia kubashiri mvua kubwa itanyesha), kwa mshangao wenu upepo unayapeperusha mawingu mnajikuta mmeunguza account.
Ni kubashiri tu kama ilivyo kuitabiria kisha kuibashiria Liverpool tu!!
Duuh endelea kubashiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lini mkuu kila siku anaongelea mamilioni na huku anazidi kupukutika

Sent using Jamii Forums mobile app
Ktk watu nawaheshimu ni hao watu wa FOREX na ndg zao! Wanawaingiza king mpk ma lecturer! Ofisini kuna lecturer Mmoja kashaingia hayo mambo ila bado hawajaanza kumpukutisha! Yupo kwenye ile stage ya kukopa dola mia 300-500! Sa anapata ugumu watu wengi hawako njema kulingana na vyuma!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom