Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Ha ha ha haaaaaaaaa.....ila wewe, unanivunja mbavu sana...ww si ndo ulikuwa unakimbizana daily kwa ontario kwenye ule mgorofa huku ukiwa umebebelea Toshiba yako..Duh jamaan

Aah acha kabisa
Ni story ya maisha yangu
 
Nakuacha tu uamini hivo.... ningekuwa nmekatwa kichwa ningekuwa nimeshaanza kuuza kitu kimoja kimoja.

Kwanza nina uhakika thamani tu ya simu yangu ni hela ambayo unaisotea kwa miezi kama siyo mwaka unaisha haujaishika kwa mara moja...

Sent using Jamii Forums mobile app
Usitumie nguvu nyingi kusema we una hela ,acha hela yenyewe iongeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
EURUSD.... Acha nisubiri mida wa kubuy...
 

Attachments

  • Capture110.PNG
    Capture110.PNG
    18.3 KB · Views: 33
Unataka kutuambia Bank kuu huwa wanatrade?
Yale mahati fungate huwa wanayatoa ya nini sasa?
Mnawaambukiza watu ugoro wakiibiwa mpate kamisheni!!!
kamisheni ndo zinawafanya watoe POVU KUTUAMINISHA FOREX KUNA FAIDA YA KUFA MTU.

HEBU FIKIRIA KATI YA WALOJIUNGA WOOOTE WANALALAMIKA ISIPOKUA WATU WASIOPUNGUA 7.

HAWA NDO MADALALI WENYEWE. PUMBAAAAAAVU!!!!
 
Please Traders fanyeni kazi. Mwaka ndio huu umeanza na Leo Ni tarehe 2. Hata mungu anaona tunavyojitahidi kutumia haki yetu ya kikatiba kutoa maoni ya kuwajenga wenzetu kuhusu forex.



Sijawahi kusikia forex trader anamlalamikia raisi magufuli kuwa kabana ajira. Forex ni career. Ni kazi Kama kazi zingine. Please tujikite na soko. Najua kama wewe ni true forex trader unaelewa nini unafanya. Usiyumbishwe na mtu. Usitumie muda mwingi kujustify forex ni nini kwa "mpumbavu" tena.


Ni bora muda huo uutumie kuchambua soko na pairs zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss huwezi kuwa serious hebu ingia kwenye mt4 yako linganisha candlestick za eurgbp na gbpaud

Sent using Jamii Forums mobile app
Naww nakupa assignment... tumia crosshair pia idadi ya pips kwenye candlestics ambazo zinafanana urefu kwenye gbpaud na eurgbp....

Simple tu ni kwamba GBPAUD inaweza hata kwende 200pips kwa siku... Hiyo Eurgbp nitafutie siku ambayo imetembea hata 150pips....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naww nakupa assignment... tumia crosshair pia idadi ya pips kwenye candlestics ambazo zinafanana urefu kwenye gbpaud na eurgbp....

Simple tu ni kwamba GBPAUD inaweza hata kwende 200pips kwa siku... Hiyo Eurgbp nitafutie siku ambayo imetembea hata 150pips....

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi ndio nimekuelewa boss shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom