Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
akikwambia itakusaidia nn

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata watu wa bitcoin wanaweza kukuconvice ktkt bitcoin wanakuonesha magari ya kifahari ,mansions,yatchs n.k. ktk biashara. Sasa watu wa forex aje mtu atuone

Hata mtu akitaka kukushauri ulime anaweza kukwambia mwaka jana nilikua na shamba ekari kadhaa nikalima kitu flani nikavuna nikauza nikapata pesa kiasi kadhaa.nikanunua gari au nyumba n.k.

Hatathubutu kuja mtu,utaishia kuona tu Screenshot za mahela ya kudownload tu.
 
Hata watu wa bitcoin wanaweza kukuconvice ktkt bitcoin wanakuonesha magari ya kifahari ,mansions,yatchs n.k. ktk biashara. Sasa watu wa forex aje mtu atuone

Hata mtu akitaka kukushauri ulime anaweza kukwambia mwaka jana nilikua na shamba ekari kadhaa nikalima kitu flani nikavuna nikauza nikapata pesa kiasi kadhaa.nikanunua gari au nyumba n.k.
Mimi najitolea. Nakuomba uweke Salio LA account yako hapa na mimi niweke Salio langu la exness. Nakupa dakika 05 ukiweka na Mimi naweka.

Kuwa muaminifu ficha taarifa zako muhimu ila Salio lionekane. Mtu mwenyewe ni salary monger.

Niliwapa vichwaa panzi wenzio hii challenge sikuona hata mmoja.

Ukiweka account yako namalizia kufungua hilo Salio , ujione ulivyo kichwa maji.

NB: Hizo digits ni in USD
IMG_20190104_220626.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi najitolea. Nakuomba uweke Salio LA account yako hapa na mimi niweke Salio langu la exness. Nakupa dakika 05 ukiweka na Mimi naweka.

Kuwa muaminifu ficha taarifa zako muhimu ila Salio lionekane. Mtu mwenyewe ni salary monger.

Niliwapa vichwaa panzi wenzio hii challenge sikuona hata mmoja.

Ukiweka account yako namalizia kufungua hilo Salio , ujione ulivyo kichwa maji.

NB: Hizo digits ni in USD View attachment 986224

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo dola ulizoweka mbona zimefutwa?mnataka kutuaminisha hiyo forex unapata pesa nyingi?hamna kitu hapo zaidi ya kupata pesa ya kula tu.
Dhibitisha nilichosema sio polojo
 
Weww mtu wa forex ndo unabidi u prove unachosema .ni sawa na kumwambia mo dewji sio tajiri halafu dewji aseme kama yeye sio tajiri tuweke salio la akaunti yake na yangu.hapo unakua hujajibu ulichoulizwa. Nonsense
 
Dah. Huwa najiuliza watu wa forex wanasifia kila siku. Aje mtu hapa atuambie tangu yupo ktk forex amepata nini?kuna watu duniani kama 50 cent walikua na bitcoin na wana mali nyingi hao wanaweza kukushawishi.
Kifupi watu wa forex aje mtu atuambie ana nn i.e mali,pesa n.k alizopata ktk forex .tofauti na hapo kwa upande wangu naona ni hadithi za kusadikika.
Forex.jpg
 
Hiyo ndicho nilichopata toka jana na trades bado zinaendelea. Haijalishi ni demo au live account. Cha msingi fahamu kwamba kama wewe huwezi wengine wanaweza!
 
Weww mtu wa forex ndo unabidi u prove unachosema .ni sawa na kumwambia mo dewji sio tajiri halafu dewji aseme kama yeye sio tajiri tuweke salio la akaunti yake na yangu.hapo unakua hujajibu ulichoulizwa. Nonsense
Hapa kisebusebu kimekushuka jamaa kakukomesha sana....
 
Hizo usd 2000, usd 4000 etc hizo no pesa za kawaida . nilifikiri labda usd laki na kuendelea? Coz watu wanavyopiga kelele kuhusu forex sijui bitcoin utafikiri wana mamilioni ya pesa . milioni 4 ,5,6 etc hizo ni pesa za kawaida sana.
Una matatizo kichwani wewe. Kwa hiyo hela zote zinatunzwa kwenye mt4? Au unatamani uonyeshwe bank account? KAMA HUWEZI KUTRADE FOREX KAUZE VIBAMIA BWANA UNATUCHOSHA TU HUMU JUKWAANI!
 
No need to show off.
Hujui unachokitaka...unataka account za watu ukiombwa zako inageuka show off....we hata sio verified au maarufu sana jf kiasi useme wengi tutakujua....dondosha salio la account tujue daudi anaporojo tu au vipi?
 
Una matatizo kichwani wewe. Kwa hiyo hela zote zinatunzwa kwenye mt4? Au unatamani uonyeshwe bank account? KAMA HUWEZI KUTRADE FOREX KAUZE VIBAMIA BWANA UNATUCHOSHA TU HUMU JUKWAANI!
Utaombwa na withdrawal muda si mrefu...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom