Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Sasa kama ulimwacha wivu wa nini?Ngoja huyo msela wako wa karibu siku akimchukua dem wako ndio utaelewa😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama ulimwacha wivu wa nini?Ngoja huyo msela wako wa karibu siku akimchukua dem wako ndio utaelewa😂😂
Acha ushamba, unajua walianza lini? Huyo mlikuwa wote wewe ukajitoa mwenzio kaendeleza.Kuna mshikaji wangu anatembea na ex Wangu ambaye nimeachana nae miezi 5 iliyopita, kiukweli huyo ex simpendi lakini mshikaji wangu ananiboa sana, ina maana alikosa demu mwingine mpaka aje kutembea na mashemeji zake
Naomba ushauri nimfanyeje huyu mshikaji wangu maana naona ni kama anasafiria nyota yangu😂😂 nilitaka nimkate mitama mbele ya huyo ex wangu ila basi tu sitaki kesi 😂😂
Pambana na hali yako/cotton and your conditionNi wivu tu unakusumbua...
Pambana na hali yako...
Kama umemchoka tuachie sisi tumle mpaka mifupa sisi ndio mafisi.......RayvanKuna mshikaji wangu anatembea na ex Wangu ambaye nimeachana nae miezi 5 iliyopita, kiukweli huyo ex simpendi lakini mshikaji wangu ananiboa sana, ina maana alikosa demu mwingine mpaka aje kutembea na mashemeji zake
Naomba ushauri nimfanyeje huyu mshikaji wangu maana naona ni kama anasafiria nyota yangu[emoji23][emoji23] nilitaka nimkate mitama mbele ya huyo ex wangu ila basi tu sitaki kesi [emoji23][emoji23]
Aache kufatilia maisha ya watuBado unampenda?
Kama humpendi acha kufuatilia maisha ya ex jamani!
Hakuna ukweli hapo,kiukweli huyo ex simpendi lakini.....