Bc ujue kila kitu kipo sawa hapo, tuache raia wafaidi nyama.Hakuna malalamiko, supu chap inaisha. π
Sikiliza juu kukitamalaki chini ni mzigoNyama za mtaani na mambo ya uongozi yanaingiliana vp?
Wabongo kwa kulalamika π
Ipo siku utailaumu uongozi mkeo hashiki mimba
nyama za mafungu zinakwaguliwa kutoka kwenye ngozi iliyochunwa ng'ombe na zile nyama za tumbonimshikaki 100 hivi hawa wananunua nyama kilo sh ngapi?
jaman hii dsm hii mtiani
Nauliza hv, mkeo akishindwa kushika mimba utailaumu serikali?Sikiliza juu kukitamalaki chini ni mzigo
Na ndio maana hekima katika uongozi imeambatana na ulezi wa familia.!
Hebu nipe data za watu TZ wenye uwezo wa kutofautisha nyama ya ng'ombe na Binadamu ikitiwa Tangawizi, bizali nyembamba, kitunguu swaumu na soya kwa mbali.!? π€
Kwakuwa uko machinjioninyama za mafungu zinakwaguliwa kutoka kwenye ngozi iliyochunwa ng'ombe na zile nyama za tumboni
Kapige nyetoNauliza hv, mkeo akishindwa kushika mimba utailaumu serikali?
Aliyekwambia wananunua Nani?mshikaki 100 hivi hawa wananunua nyama kilo sh ngapi?
jaman hii dsm hii mtiani
Huwezi kuelewa mana Wabongo nyie muda wote n kulalamika tuuKapige nyeto
Cha Msingi isiwe kibudu mana ladha itakuwa mbaya π₯Aliyekwambia wananunua Nani?
Manyau na mbwa Tele mitaani kwanini asipate mshikaki wa 100?
Nimejibu mimiHuwezi kuelewa mana Wabongo nyie muda wote n kulalamika tuu
Panga lako tuu na ndoo ya kuwekea nyama π₯Mm ninunue nyama mijibwa yote hii?
πΉπΉKikubwa Kila mtu ale nyama