M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Kwa Hizi figisu kuna kila dalili Mshindi wa uenyekiti atatangazwa usiku wa manane ili kupunguza vurugu. Natanguliza salamu za Pongezi kwa Mwenyekiti FAM kwa ushindi mnono wa kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia, Escort iimarishweKwa Hizi figisu kuna kila dalili Mshindi wa uenyekiti atatangazwa usiku wa manane. Natanguliza salamu za Pongezi kwa Mwenyekiti "atakayetangazwa"
Adumu mileleMfahamu sultan ibn mbowe king'ang'anizi
View attachment 3197570
Mkuatano hauna kazi moja kuna nafasi mbalimbali za kupigiwa kura ukiacha hiyo ya mwenyekiti na zinagombewa na wengi; kuna kupitia raarifa ya ka,zi za chama kwa miaka mitano iliyopita, kupitisha agenda nk.Kwa Hizi figisu kuna kila dalili Mshindi wa uenyekiti atatangazwa usiku wa manane. Natanguliza salamu za Pongezi kwa Mwenyekiti "atakayetangazwa"
Hiyo imekaa poa. Lisu atafute kazi nyingine ya kufanyaMkuatano hauna kazi moja kuna nafasi mbalimbali za kupigiwa kura ukiacha hiyo ya mwenyekiti na zinagombewa na wengi; kuna kupitia raarifa ya ka,zi za chama kwa miaka mitano iliyopita, kupitisha agenda nk.
Pia mchakato wenyewe wa upigaji kura ili uwe wa uwazi unahitaji kwenda nao polepole ikiwemo kuhakiki majina, mtu kupiga kura yake kwa siri na kutumbukiza katika boksi bila kuzongwazongwq hiyo yote inahitaji muda mrefu. Hivyo lazima mchakato ukamilike usiku labda ingekuwa mkutano ni wa siku mbili ndio ingewezekana kutangaza mapema.
..mbowe amesema anataka mambo yafanyike mchana kweupe, let us seeKwa Hizi figisu kuna kila dalili Mshindi wa uenyekiti atatangazwa usiku wa manane. Natanguliza salamu za Pongezi kwa Mwenyekiti "atakayetangazwa"
Kura 1200 zinatakiwa matokeo yatokee saa sana mchana .Kwa Hizi figisu kuna kila dalili Mshindi wa uenyekiti atatangazwa usiku wa manane. Natanguliza salamu za Pongezi kwa Mwenyekiti "atakayetangazwa"
Eti Sultan Ibn Mbowe.Mfahamu sultan ibn mbowe king'ang'anizi
View attachment 3197570
Tutakua liveKwa Hizi figisu kuna kila dalili Mshindi wa uenyekiti atatangazwa usiku wa manane. Natanguliza salamu za Pongezi kwa Mwenyekiti "atakayetangazwa"
Unaenda na matokeo kama mashabiki wa Simba!Kura 1200 zinatakiwa matokeo yatokee saa sana mchana .
Tena Lisu amchague askofu Mwamakula ,Shekhe Ponda, Padri Kitima, Mwabukusi au askofu Mwanamapinduzi kuwa msimamizi wa kura zake .
Kura zipigwe na zihesabiwe kwenye Chumba chenye Kamera .
Mbowe hata atoe pesa zote walizoiba benki kuu miaka hiyo na mkwe wake bado hadezi kuingia kwenye mioyo ya wapiga kura wa mikoa yote mbali na Kwenye kata yake kule Machame.
Kanda ya ziwa hana kitu
Manyara Hana kitu
Arusha kwa Wamasai hana kitu maana ameungana na serikali ya Samia iliyowafukuza kwenye ardhi yao.
Mbeya hana kura
Tanga hana kura ,Kilimanjaro hana kura Rombo,Mashi vijijini, Mwanga , Siha na Same .
Singida hana hata kura moja
Dodoma hana kura maana yupo kwenye kundi linalombagaza Ndugai kwa sababu ya ufisadi na Ndugai hapendi ufisadi .
Iringa hana kura
Mtwara hana kura
Rukwa hana kura .
Kigoma hana kura.
Kura za Mbowe ni chache sana pale Machame tuu hata kata 20 hazifiki.
Kura zilipigwa kwa haki
Lisu 960
Mbowe kura 180
na yule mwingine 55
Kura zilizo haribia 5.
Uchaguzi ndani ya Chadema utakua umeleta matumani makubwa na 2025 October CCM byebye mana wapinga rushwa na ufisadi wote watahamia chadema .
CCM itabaki na mafisadi na machawa watakaotokea chadema kuungana na machawa wenzao kule CCM
🤔 🤣Kwa Hizi figisu kuna kila dalili Mshindi wa uenyekiti atatangazwa usiku wa manane. Natanguliza salamu za Pongezi kwa Mwenyekiti "atakayetangazwa"
🤣 🤣 🤣Lema akamatwe
HatariLema kamkana home boy
Vurugu zitaletwa na maadui na wasio wanachama wa CHADEMAKwa Hizi figisu kuna kila dalili Mshindi wa uenyekiti atatangazwa usiku wa manane ili kupunguza vurugu. Natanguliza salamu za Pongezi kwa Mwenyekiti "atakayetangazwa"
Pesa iongeeVurugu zitaletwa na maadui na wasio wanachama wa CHADEMA
View attachment 3203305