Jacobus JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 4,703 Reaction score 1,724 May 17, 2018 #1 Naona unakuwa utamaduni sasa kwa bunge letu kualika timu bingwa wa ligi ya nchi yetu. Nadhani itakuwa jambo jema kwa timu bingwa wa kombe la FA kati ya Mtibwa na Singida United nae aalikwe bungeni kwani atakuwa mwakilishi wa nchi yetu kimataifa.
Naona unakuwa utamaduni sasa kwa bunge letu kualika timu bingwa wa ligi ya nchi yetu. Nadhani itakuwa jambo jema kwa timu bingwa wa kombe la FA kati ya Mtibwa na Singida United nae aalikwe bungeni kwani atakuwa mwakilishi wa nchi yetu kimataifa.