Mshindi wa kombe la FA nae aalikwe bungeni.

Mshindi wa kombe la FA nae aalikwe bungeni.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Naona unakuwa utamaduni sasa kwa bunge letu kualika timu bingwa wa ligi ya nchi yetu. Nadhani itakuwa jambo jema kwa timu bingwa wa kombe la FA kati ya Mtibwa na Singida United nae aalikwe bungeni kwani atakuwa mwakilishi wa nchi yetu kimataifa.
 
Back
Top Bottom