Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
Shukrani sana muandaaji, Ruhazwe Jr kwa zoezi zima. Sasa niwakati wangu wa kutekeleza ahadi.
Congratulation winer
Shukrani sana muandaaji, Ruhazwe Jr kwa zoezi zima. Sasa niwakati wangu wa kutekeleza ahadi.
hii imedhihilisha ni jinsi gani unatenda haki na hakuna upendeleo. tume zote za uchaguzi zijifunze kutoka kwako. matokeo yanaridhisha na kufurahisha. huu uchaguzi ulikuwa huru na haki. mia
mi nataka kujua wajaji walikuwa ni akina nani, na kama tunaruhusiwa ku appeal matokeo
mi nataka kujua wajaji walikuwa ni akina nani, na kama tunaruhusiwa ku appeal matokeo
naungana na wewe leh ku- appeal matokeo. my lawyer ruttashobolwa uko wapi. me napinga haya matokeo!
naungana na wewe leh ku- appeal matokeo. my lawyer ruttashobolwa uko wapi. me napinga haya matokeo!
Hakuna shida kabisa, ngoja tukusanye vielelezo!
charminglady, kama ruttashobolwa hatajitokeza uniruhusu niwe attorney wako kwa siku ya leo pro bono, haya matokeo tusiyakubali
Lundenga bwana
nafanya utafiti wangu wa kipembeni ila mpaka hapa inabidi nikubali kuwa naona kama kila kitu kilikuwa haki. naona nikibaki kumlaumu charminglady for failing to let us (her fans) know kwamba anashindana. all the same, i'll be backninamashaka safari unayoianzisha kuishia mwanzo wa safari. nina uhakika uchaguzi ulikuwa wa huru na haki