Mshindi wa redds miss Tanzania ni Happiness Matimanywa toka Dodoma

Mshindi wa redds miss Tanzania ni Happiness Matimanywa toka Dodoma

Jirani yangu ana afadhali kwa huyu mnyange.....hivi miss Tz kicameroon ni lazima?
 
umiss wewe utapita bila kupingwa,
lini unakuja Dar wangu kisura

Yani kumsifia mara 1 ashakuwa wako kisura. Hizo sifa zote unachotaka kumgegeda dada wa watu kisha umteme. Tunazungumzia miss Tanzania. Mambo mengine peleka pm,au kwenye jukwaa la chat.
 
Last edited by a moderator:
Jirani yangu ana afadhali kwa huyu mnyange.....hivi miss Tz kicameroon ni lazima?

Miss anaanza kutafutwa toka wakiwa kambin, kuna vigezo vingine vinaangaliwa kuja kupata miss Tanzania siyo sura tu. Ulimsikia na yule aliyesema mandela ni rais wa south africa kwa sasa. Ni mzuri sema akili ndio tatizo ila uyu mshindi akili anayo na vigezo pia.
 
Wewe mzuri? Acha kupotosha ni mzuri. Acha wivu wa kijinga. Wewe ndio una sura ya tambala acha kukufuru mola wako

wabongp nao mbona unafanya unachokataza? Kama sura ni tambara inabak kuwa hivyo..no one can change it!!
 
Tangu Vodacom wajivue gamba hili Misss Tz umekuwa utapeli tu
 
Miss anaanza kutafutwa toka wakiwa kambin, kuna vigezo vingine vinaangaliwa kuja kupata miss Tanzania siyo sura tu. Ulimsikia na yule aliyesema mandela ni rais wa south africa kwa sasa. Ni mzuri sema akili ndio tatizo ila uyu mshindi akili anayo na vigezo pia.

yaah ni kweli nauunga mkono hoja. huyu dada anaonekana yupo vizuri up stairs. kwa uzuri wa sura wapo wengi waliomzidi pale. nadhani anasifa nyingi za ziada zitakazomuwezesha kucompete miss world
 
Mshindi wa redds miss Tanzania 2013 ametangazwa muda huu ni Happiness watimanywa toka Dodoma
mkuu unge editi na kutuwekea picha
2.JPG
happy+watimanywa.jpg

cc Paw Moderator tuweekee hz picha post #1
 
Samahani wadau naomba kuuliza hivi ni miss redds Tanzania au miss redds Tanganyika?Nilikuwa nasikia kwa makini kusikia kama kuna waliotoka kanda za Unguja na Pemba lakini sikusikia kitu kama hicho.Wenye kujua zaidi mtujuze tafadhari,
 
Back
Top Bottom