Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,572
Jirani yangu ana afadhali kwa huyu mnyange.....hivi miss Tz kicameroon ni lazima?
inamaana mshndi wa BSS epic anachukua mkwanja zaidi ya miss tz
Kashagongwa sana mpaka anakuja kupata hilo gari
Apa tunazungumzia miss Tanzania. Nenda naye pm ukamsifie uko.
Ulimshikia mguu? Kama wewe unaweza kuutumia mwili wako kufika unapotaka, usidhani kila mtu anafanya hivyo aisee
Wewe mzuri? Acha kupotosha ni mzuri. Acha wivu wa kijinga. Wewe ndio una sura ya tambala acha kukufuru mola wako
kichwani yupo vizuri ana uelewa mkubwa ila sura ni changamoto kwakweli
Kanda ya kati oyeeee
hili ni joto hasira ambaaaa. pole mwayego!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Kashagongwa sana mpaka anakuja kupata hilo gari
basi wewe ndio mrembo inabidi mwakani ukashiriki kwi kwi kwi kwiiii.wabongp nao mbona unafanya unachokataza? Kama sura ni tambara inabak kuwa hivyo..no one can change it!!
Miss anaanza kutafutwa toka wakiwa kambin, kuna vigezo vingine vinaangaliwa kuja kupata miss Tanzania siyo sura tu. Ulimsikia na yule aliyesema mandela ni rais wa south africa kwa sasa. Ni mzuri sema akili ndio tatizo ila uyu mshindi akili anayo na vigezo pia.
Kanda ya kati oyeeee