Mshindi wa Tour De france kupokea 1,387,149,400 za kitanzania! Umasikini kujitakia

Mgosi Mbena

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2023
Posts
499
Reaction score
604
Kijana wa Eritrea kwa majina ya Biniam Girmay kujishindia dola $533,915x 2600= 1,387,149,400

Kiasi kinaweza kuongezeka kama kulingana na mabadiliko ya thaman ya pesa.

Kweli nimeamini ukubwa wa pua si wingi wa kamasi.Tanzania mara ya mwisho lini kutoa washindi wakubwa kimataifa.

Kuna shida mahali jinsi tunavo jiposition na kuji IMAGE

 
ujuaji mwingi
ndo umeandika shilingi ngapi
 
Mpuuzi huyu. Anachukulia mambo kirahisi sana. Ingetokea kashinda mtanzania bado angekuja kutuuliza huko kwingine kwann hawajashinda
Ingekua ngumu kusingekua na mtu anashinda sijui unaelewa!

Au ndo ushalemazwa akili unadhan kila kitu kigumu
 
Hizi ni list ya nchi na washindi waliowai kushinda tangu kuanzishwa kwa shindano hilo
 
Kama ni rahisi hivyo kila mtu angekuwa kama Ronaldo, Messi na wengine wooote unaowaona
si wote ni wacheza mpira ungesema kila mchezaji !!
Maana ukisema kila mtu unamaanisha maingineer nao wawe kama mesi, wanasheria,walimu, wasaniii wa nyimbo!!
Kila mtu anashinda mechi zake kwene uwanja wake
 
tz tushindw vita ya maneno na udaku
 
Acha kusema mambo ni rahis kama sio mwanamichezo. Tulia tu umpikie basha wako
mbona una ng’ang’aniza mambo yawe magumu hapo kwene list kuna nchi zimeshindq zaidi ya mara tano!!
Ni kuamua
Kujipanga
Na kuwekeza

Tz tukifanya hivi sidhan kama katka uwingi wetu atakosekana mtu wa kushinda hata mara moja.
Hizo nchi nyingi zimewekeza kwene michezo siyo michezo ya maneno kama tunavofanya huku
 
Tanzania inatia uvivu, maana ukishinda hiyo 1,387,149,400 kodi baada ya makato yote utabakiwa na 149,400/= kinyonge sana...


Cc: Mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…