Mgosi Mbena
JF-Expert Member
- Nov 28, 2023
- 499
- 604
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mashoga wao huwa hawaamini kwene kupambana !! huyo ni mmoja yy kutatua nyangamoto ni kugawa 0712…mbona una ng’ang’aniza mambo yawe magumu hapo kwene list kuna nchi zimeshindq zaidi ya mara tano!!
Ni kuamua
Kujipanga
Na kuwekeza
Tz tukifanya hivi sidhan kama katka uwingi wetu atakosekana mtu wa kushinda hata mara moja.
Hizo nchi nyingi zimewekeza kwene michezo siyo michezo ya maneno kama tunavofanya huku
Watanzania ni masikini na wengi mitazamo yao ndo hiyo ! usijichoshe kufundisha ndugusi wote ni wacheza mpira ungesema kila mchezaji !!
Maana ukisema kila mtu unamaanisha maingineer nao wawe kama mesi, wanasheria,walimu, wasaniii wa nyimbo!!
Kila mtu anashinda mechi zake kwene uwanja wake
Pamoja kwa ufafanunuziBiniam Girmay hajashinda mashindano mzima. Hii mashindano ni siku 21. Girmay ameshinda siku 3 tu. Inamaana amepata 11,746 USD x 3 = 35,238 $ sio 533,915 $ . Lakini, hata 35,238 $ ni pesa nyingi sana