mbona una ng’ang’aniza mambo yawe magumu hapo kwene list kuna nchi zimeshindq zaidi ya mara tano!!
Ni kuamua
Kujipanga
Na kuwekeza
Tz tukifanya hivi sidhan kama katka uwingi wetu atakosekana mtu wa kushinda hata mara moja.
Hizo nchi nyingi zimewekeza kwene michezo siyo michezo ya maneno kama tunavofanya huku
si wote ni wacheza mpira ungesema kila mchezaji !!
Maana ukisema kila mtu unamaanisha maingineer nao wawe kama mesi, wanasheria,walimu, wasaniii wa nyimbo!!
Kila mtu anashinda mechi zake kwene uwanja wake
Biniam Girmay hajashinda mashindano mzima. Hii mashindano ni siku 21. Girmay ameshinda siku 3 tu. Inamaana amepata 11,746 USD x 3 = 35,238 $ sio 533,915 $ . Lakini, hata 35,238 $ ni pesa nyingi sana
Biniam Girmay hajashinda mashindano mzima. Hii mashindano ni siku 21. Girmay ameshinda siku 3 tu. Inamaana amepata 11,746 USD x 3 = 35,238 $ sio 533,915 $ . Lakini, hata 35,238 $ ni pesa nyingi sana