Mshindi wa Uraisi Kenya kutangazwa saa 3:30 pm (saa 9:30) na IEBC

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,575
Mshindi wa Uraisi Kenya kutangazwa saa 3:30 pm (saa 9:30) na IEBC Na maandalizi yashakamilika ikiwepo ulinzi wa kutosha

MPAKA SASA KENYATTA ANAONGOZA KWA KURA 7 million ; ikiwa wazi ndo Raisi Mteule wa Kenya.

Wakati wowote atatia sahihi marekebisho ya sheria iliyokuwa mezani; ili Jaji Mkuu kama atamuapisha awepo Jaji mwingine wa kumuapisha.

Maisha lazima yaende
 
Nasikiliza Dw hapa kua wakati wowote kuanzia sasa Uhuru atatangazwa mshindi ktk matokeo ya uchaguzi wa marudio
Lakini pampja na hatua hiyo bado yapo mapungufu mengi mengi mno.
 
Atangazwe mambo yapite. Watu waendelee na shughuli zao muda sasa wako kwenye taharuki ya uchaguzi, uchumi umezorota lakini yote kwa yote wasisahau amani ndo ngome.
 
Mubashara kabisa naona ndio wanaanza rasmi kwa wimbo wa Taifa.
 
Ni wakati muafaka kwa Nyanza kujitenga make hawajafanya uchaguzi; ni upuuzi usiokua na maana kuacha mkoa kutofanya uchaguzi wa urais
 
NIPO NAJITEKENYA NACHEKA MWENYEWE ......NI RAHA SANA
 
KENYATTA NA KAGAME WAMEVUNJA REKODI KWA USHINDI WA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA KUPATA 98%

HONGERENI SANA ; TANZANIA IGENI MFANO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…