Mshindi wa droo kubwa ya vodacom mahela mil 100 ametangazwa hivi punde ni mwanafunzi binti wa mwaka wa pili chuo cha ualimu Kasulu mkoani Kigoma, nasikia amezilai
duh magamba at work.huyu aliepost huu uzi nae ni ziro kama wewe...jukwaa la siasa yeye analeta habari za biashara au ndo laana za magamba kutoka kwa tembo waliouawa?mtaweweseka sana>