Mshindi wa Vodacom mahela Mil 100 apatikana.

Mshindi wa Vodacom mahela Mil 100 apatikana.

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
3,454
Reaction score
2,975
Mshindi wa droo kubwa ya vodacom mahela mil 100 ametangazwa hivi punde ni mwanafunzi binti wa mwaka wa pili chuo cha ualimu Kasulu mkoani Kigoma, nasikia amezilai
 
kweli vijana wa bavicha mmedata. Hii nayo jukwaa la siasa!!!

duh magamba at work.huyu aliepost huu uzi nae ni ziro kama wewe...jukwaa la siasa yeye analeta habari za biashara au ndo laana za magamba kutoka kwa tembo waliouawa?mtaweweseka sana>
 
mpaka mimi mwenyewe siku nishinde ndio nitaamini huwa kuwa ukweli......
 
Back
Top Bottom