njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Team mwaka huu imechukua ubingwa chini ya Msolla na inaenda kuchukua ubingwa wa Afrika ama kwa hakika anatosha kabisa kuupata Urais wa klabu bora kwa viwango vya CAF eneo la Afrika Mashariki yaani the MIGHTY DAR YOUNG AFRICANS..
Kubabaika na wageni toka Somalia ni ukosefu wa akili, twende na mzee wetu mzawa toka Morogoro, ikishindikana kabisa Seif Magari au Davis Mosha wanatosha kabisa.
Kubabaika na wageni toka Somalia ni ukosefu wa akili, twende na mzee wetu mzawa toka Morogoro, ikishindikana kabisa Seif Magari au Davis Mosha wanatosha kabisa.