Mshindo Msolla anatosha, kaipa timu (Yanga) mafanikio makubwa

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Team mwaka huu imechukua ubingwa chini ya Msolla na inaenda kuchukua ubingwa wa Afrika ama kwa hakika anatosha kabisa kuupata Urais wa klabu bora kwa viwango vya CAF eneo la Afrika Mashariki yaani the MIGHTY DAR YOUNG AFRICANS..

Kubabaika na wageni toka Somalia ni ukosefu wa akili, twende na mzee wetu mzawa toka Morogoro, ikishindikana kabisa Seif Magari au Davis Mosha wanatosha kabisa.
 
Mbona huku mtaani wanaimba wimbo wa Eng Hersi
 
Wekundu wa msimbazi kulikoni? Mmetumwa na nani?
 
Ukweli mchungu,

Hela za GSM ndizo zimeifikisha Yanga hapo ilipo,mpira Wala hautaki viongozi wa kihivyo.

Unahitaji usajili mzuri,wachezaji wasiwe wanadai ni hivyo tu.
 
Ukweli mchungu,

Hela za GSM ndizo zimeifikisha Yanga hapo ilipo,mpira Wala hautaki viongozi wa kihivyo.

Unahitaji usajili mzuri,wachezaji wasiwe wanadai ni hivyo tu.
Team inatekwa na kikundi kidoogo sana hii ni hatari ,kuna mgongano wa maslahi hapo, waarbu na wasomali ni combination mbaya kabisa, twende na mzawa msolla
 
Team inatekwa na kikundi kidoogo sana hii ni hatari ,kuna mgongano wa maslahi hapo, waarbu na wasomali ni combination mbaya kabisa, twende na mzawa msolla
Peleka mbolea msimbazi .... mambo ya yanga hayakuhusu . Utapewa kibendi shauri yako
 
Mshindo msolla hagombei
 
Mambo ya yanga ayakuusu, kwako kunanuka umebaki kuchungulia kwa mwenzako ovyo kabisa wewe
 
Mambo ya yanga ayakuusu, kwako kunanuka umebaki kuchungulia kwa mwenzako ovyo kabisa wewe
Yanga ni team ya wananchi wote wa Tanzania, imebeba matumaini makubwa sana mwaka huu ichukue ubingwa wa afrika hatuwezi kubali wahuni wachache waihodhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…