carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Kwani rais wa Congo ni kijana?Watu wamezeeka wana kika kitu bd wanasumbua watu
Huyo kakamatwa akiwa kajipumzikia kwake, hana hili wala lile.Watu wamezeeka wana kika kitu bd wanasumbua watu
Elewa neno wazee hp hakuna usalama pande zote zimejaa tamaa na ushkaji wa kuokota kisha kugeukanaK
Kwani rais wa Congo ni kijana?
Hilo nalo unalaumu,kwamba serikali ya drc itatuma askari tena jeshi kwenda kumkamata mtu bila sababuHii tabia ya kuonea wapinzani imeshika kasi sana kwenye huu ukanda wetu.
Maana yake kuna jamboIla Africa tuna matatizo ya problem kwakweli. Yaani Serikali inahangaika na Mzee wa miaka 80 kweli? Tena kwa kupeleka wanajeshi 30 kumkamata? Halafu Wazungu wakimchora Shetani ana rangi nyeusi mnalalamika.
Ukanda wa madiktetaAliyekuwa Rais wa Seneti na Waziri wa Sheria nchini DRC, Alexis Thambwe Mwamba amekamatwa asubuhi ya leo Ijumaa tarehe 23 Oktoba 2026 nyumbani kwake katika eneo la Macampagne Ngaliema jijini Kinshasa.
Thambwe Mwamba, ambaye ni mshirika wa karibu na nguzo muhimu ya kambi ya Rais wa zamani Joseph Kabila, amekamatwa katika oparesheni kubwa iliyohusisha upelekaji wa zaidi ya wanajeshi 30 nyumbani kwake.
Vyombo vya habari vya ndani nchini humo ikiwemo Actualite vimethibitisha kuwa kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 80 amechukuliwa na vikosi vya usalama, ingawa sababu rasmi za ukamataji huo bado hazijawekwa wazi.
Seneta wa upinzani, Salomon Kalonda amelaani vikali ukamataji huo akitaja kuwa ni wa "ubabe na "uchochezi mkubwa" unaoonesha mwelekeo wa kiimla wa serikali hasa wakati huu nchi hiyo ikikabiliwa na migogoro ya kisiasa na mijadala ya kubadili Katiba.
Kwann asikamatwe siku zote hizo aje akamatwe leo kwa Felix kawa Rais juziHuyo kakamatwa akiwa kajipumzikia kwake, hana hili wala lile.
Nadhani sababu ni 'role model' wake kujiunga na waasi.Kwann asikamatwe siku zote hizo aje akamatwe leo kwa Felix kawa Rais juzi
Au alipiga mpunga kipindi akiwa na madaraka ndio wanataka kumpukutishaHuyo kakamatwa akiwa kajipumzikia kwake, hana hili wala lile.
Cha ajabu huyu anaekamata wenzake na yeye alikuwa kama mpinzani juzi kati na Kabila akaamua kabisa kumpisha kitaarabuHii tabia ya kuonea wapinzani imeshika kasi sana kwenye huu ukanda wetu.
Hii tabia ya kuonea wapinzani imeshika kasi sana kwenye huu ukanda wetu.