Mshiriki Namba 13 wa BSS Meshaki Fukuta ameibuka mshindi wa mashindano hayo mwaka 2019

Mshiriki Namba 13 wa BSS Meshaki Fukuta ameibuka mshindi wa mashindano hayo mwaka 2019

HaMNa picha...hamna clip! Kama huwezi kuweka hizo supporting docs.ni bora tu usianzishe uzi.
 
Huyo dogo kushinda kwangu sio inshu swali ni je ataweza kutoboa baada ya bss?
 
Atatoboa mbona kina Kayumba, Walter na wengineo wapo... Sarafina ndio sijamsikia

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajie hit songs tano za kayumba? Kayumba hajawahi kutoboa nje ya bss ni msanii ambaye alikuwa anastruggle kutoboa, Walter chilambo mziki ulimshinda mapema akaokoka akawa anaimba kwaya na huko kwenye kwaya gozbert ndo baba lao,
 
Hit song tano? Kwa muda gani aliokaa kwenye gemu? Mimi naona wanafanya vizuri kwa nafasi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hit song tano? Kwa muda gani aliokaa kwenye gemu? Mimi naona wanafanya vizuri kwa nafasi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mwaka wasanii wanatoa nyimbo 3,4 hadi 5 so kwa muda aliokaa kayumba kwenye gemu unamtosha kabisa kutoa hit songs zaidi ya 3,4 hadi 5 so bss hadi sasa hivi washindi wao wamefeli marioo was juzi tu ana hitsongs za kutosha,
 
Back
Top Bottom