Mshiriki wa Tanzania BBA Uzalendo umemshinda!

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
37,226
Reaction score
26,687
Mshiriki wa TZ Nando,inaonekana uzalendo umemshinda baada ta camera za BBA kumfuma akigegedana na mshiriki mwenzie Selly kutoka Ghana usiku... Siku ya 27 jamaa kaamua kujimegea kisela

kuwatch it zama hapa,
#GUMZO LA JIJI | Pata Habari Moto moto
 
Sio mtanzania yule, hatumjui.mtanzania gani hata kutaja mikoa 10 ya nchi yake hajui. Hajui hamjui hata makamu wa raisi. Muache awat.mbe coz i dont care coz sio mtanzania
 
Kidume huyo awakamue mademu wote
 
Sio mtanzania yule, hatumjui.mtanzania gani hata kutaja mikoa 10 ya nchi yake hajui. Hajui hamjui hata makamu wa raisi. Muache awat.mbe coz i dont care coz sio mtanzania

hahaaa lakin ndo kabeba bendera ya nchi......
K kwanza nchi baadae!!!!!!!!
 
Duuh!!! c mchezo. Inaonesha dem alikua anangunga balaaaa. Maana wazee wa TBS tumemchunguza dada yake mtu kunasehemu pipe ilinoga hadi akamvuta kwanguvu jamaa.
 
Duuh!!! c mchezo. Inaonesha dem alikua anangunga balaaaa. Maana wazee wa TBS tumemchunguza dada yake mtu kunasehemu pipe ilinoga hadi akamvuta kwanguvu jamaa.

Hahaa kuna mda Nando nae alikazana ile clip ya pili
nahisi ndo huo mda bidada alimvuta kwa nguvu
 
nimeishia kusimamisha tu.
Hapa nipo kwenye wakati mguumu.
 
Waghana wanamtetea ndugu yao eti hakuna lolote .......hahahaha wiki nzima wanamsafisha, na selly anajiskia vibaya coz kaka yetu ni player na haoneshi dalili ya kutaka jumla....,......
 
Waghana wanamtetea ndugu yao eti hakuna lolote .......hahahaha wiki nzima wanamsafisha, na selly anajiskia vibaya coz kaka yetu ni player na haoneshi dalili ya kutaka jumla....,......

ndio maana selly alikuwa anamwambia melvin kuwa anampenda Nando,melvin kamuuliza je mwenyewe
ana Idea yoyote kuhusu huko kupendwa
lakin inaonekana Nando hayuko deep kivile wala nini!!!!
 
ndio maana selly alikuwa anamwambia melvin kuwa anampenda Nando,melvin kamuuliza je mwenyewe
ana Idea yoyote kuhusu huko kupendwa
lakin inaonekana Nando hayuko deep kivile wala nini!!!!

Anatapa tapa sana, mara aseme anampenda sulu, mara aseme hana haja ya lover ni game tu....inshort since awe laid amekuwa mpole na kama ana stress vile
 
Shoo za wanuka vikwapa utazijua tu. Hamna la maaa zaidi ya kusubiri kuona nani atamegana na nani. Ndiyo maana mko maskini na mafukara.
 
Shoo za wanuka vikwapa
utazijua tu. Hamna la maaa zaidi ya kusubiri kuona nani atamegana na
nani. Ndiyo maana mko maskini na mafukara.

Mkuu watakuandama sio muda...hakuna MuAfrika anayependa kuambiwa ukweli mchungu.....refer to Sugu ambae tayari amekutana na vijana wa Pilato leo hii
 
Mkuu watakuandama sio muda...hakuna MuAfrika anayependa kuambiwa ukweli mchungu.....refer to Sugu ambae tayari amekutana na vijana wa Pilato leo hii

Potelea mbali na waniandame tu. Mpaka sasa sijajua kabisa lengo na dhumuni la hiyo shoo. Na kwa jinsi inavyoonekana wanazi wake husubiri kwa hamu sana hao washiriki waanze kutiana. Hapo ndipo unagundua kwamba akili na mawazo ya watu yako wapi muda wote - kufurahia kuona wengine wakitiana!! SMFH!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…