Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kila washiriki pale wanagegedana kwani wakifika mida ya usiku wanabadilisha rangi ndio ujue wako kungonoka zaidi IN SHORT BBA SIYO KITU CHA KUANGALIA.
Sio mtanzania yule, hatumjui.mtanzania gani hata kutaja mikoa 10 ya nchi yake hajui. Hajui hamjui hata makamu wa raisi. Muache awat.mbe coz i dont care coz sio mtanzania
kila washiriki pale wanagegedana kwani wakifika mida ya usiku wanabadilisha rangi ndio ujue wako kungonoka zaidi IN SHORT BBA SIYO KITU CHA KUANGALIA.
nimeishia
kusimamisha tu.
Hapa nipo kwenye wakati mguumu.
Mshiriki wa TZ Nando,inaonekana uzalendo umemshinda
baada ta camera za BBA kumfuma akigegedana na mshiriki
mwenzie Selly kutoka Ghana usiku..........
siku ya 27 jamaa kaamua kujimegea kisela
kuwatch it zama hapa,
#GUMZO LA JIJI | Pata Habari Moto moto
hahaa mhindi nae ni mzee wa chumvini.....,
maana kuna mda alishuka pale kati
Mh,...
Ndo maana simkubali hata kidogo
Shoo za wanuka vikwapa utazijua tu. Hamna la maaa zaidi ya kusubiri kuona nani atamegana na nani. Ndiyo maana mko maskini na mafukara.
Siangaliagi hiyo show...coz inanaukwaza moyo wangu...ni upuuzi mtupu...jinsi gn watu wanapenda na kuendekeza uzinzi...ndani ya siku chache ushatamani na kungonoka pia...mtu na heshima zako huwez fanya hivyo..ni mavilaza ndo wanaenda huko..hawana future na hawajalelewa ktk maadili ya dini zao..
Hivi ndo maana wanaweka black and white eeehh, duhh haya bwana
ila waliopo huku mtaani wanaongonoka kutwa kucha ndo wamelelewa kwenye maadili ya dini!!!!!!!
ni bora kama huangaliagi tu
I like it. Wanashabikia zinaa? Shame on them
naomba niekee iyo link na mi nione