Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
- Thread starter
-
- #21
akili yako ndogo sana aisee, hiyo statement yako ya kwanza tu imejitosheleza kabisa to know your IQ....no more arguement....Mbona ww hatukuongelei? Anyways nachomaanisha mm kufatilia maisha personal ya mtu mfano ka msanii rich mavoco umeshindwa kufatilia nyimbo zake au video anatoa lin umekaa unajadili atakufa lini we si ndio mjinga kabsa
Yako kubwa ya kujadili wanaume wenzio watakufa liniakili yako ndogo sana aisee, hiyo statement yako ya kwanza tu imejitosheleza kabisa to know your IQ....no more arguements....
Ngoja basi nibadilisheMbona uko poa kama hapa unafatilia Uzi wa watu,Uzi huu ni ishu ya mtu
Mkuu huwezi ishi bila kufuatilia mambo ya watu hayo ni maneno ya kinafiki ,unaulivyomfuatiliaji mzuri hadi unacomment na kujibuNgoja basi nibadilishe
Cpendagi kufatilia inshu za kijinga
Mkuu huwezi ishi bila kufuatilia mambo ya watu hayo ni maneno ya kinafiki ,unaulivyomfuatiliaji mzuri hadi unacomment na kujibu
Na mm nmewaza kama ww yaan sisi wabongo mazwazwa sana. Cjui kizaz kijacho kitakuwaje Kama wazaz ndo hao wanaokomentWatanzania wanaweza kutengenezwa kiki na wao wakajaa wazima-wazima.
Sent using Jamii Forums mobile app