MSHITUKO: Rich Mavoko ajitabiria kifo,awaaga mashabiki wake...

MSHITUKO: Rich Mavoko ajitabiria kifo,awaaga mashabiki wake...

Mbona ww hatukuongelei? Anyways nachomaanisha mm kufatilia maisha personal ya mtu mfano ka msanii rich mavoco umeshindwa kufatilia nyimbo zake au video anatoa lin umekaa unajadili atakufa lini we si ndio mjinga kabsa
akili yako ndogo sana aisee, hiyo statement yako ya kwanza tu imejitosheleza kabisa to know your IQ....no more arguement....
 
Ukata mmbaya sana. Ameona awaombe msaada kitemi hivi. Mpeni ramberambe zake ale mwenyewe
 
Ngoja basi nibadilishe
Cpendagi kufatilia inshu za kijinga
Mkuu huwezi ishi bila kufuatilia mambo ya watu hayo ni maneno ya kinafiki ,unaulivyomfuatiliaji mzuri hadi unacomment na kujibu
 
Nani nimemfatilia hapa au hujui hata maana ya kufatilia sio?
Mkuu huwezi ishi bila kufuatilia mambo ya watu hayo ni maneno ya kinafiki ,unaulivyomfuatiliaji mzuri hadi unacomment na kujibu
 
Back
Top Bottom