MSHITUKO: Rich Mavoko ajitabiria kifo,awaaga mashabiki wake...

Pole mkuu Mavoko,mie nashauri watu wake wa karibu watafute msaada,the guy is crying for help..
 
Last day of the rest of my life
Kwa kidhungu wala haina maana ya kifo,tatizo ukiitafsiri kwenye kiswahili vumbi linatimka!!!
 
Wasafi ni wafausi wa shetan..kujiuna nao kisha ukajitoa unataka kufa tu.

Kwaufupi nikm Kanumba na Freemason..Utakufa tu.


Rich mavoko amrudie Mungu
 
Hicho alichokiandika ni mstari wa ngoma ya UNANIJUA UNANISKIA ya mwana FA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…