MR BINGO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2016
- 1,164
- 2,500
Ukipata watu wajinga kwa nn usiwatumie sasaHii ni kiki ya nyimbo 100%,Alafu baadaye utawasikia ,mimi sio mtu wa kiki....
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipata watu wajinga kwa nn usiwatumie sasaHii ni kiki ya nyimbo 100%,Alafu baadaye utawasikia ,mimi sio mtu wa kiki....
Apumzike kwa amaniSijui ndio ujio wa wimbo mpya au ndo kashakata tamaa na maisha.....View attachment 1045725
MAONI YA MASHABIKIView attachment 1045728View attachment 1045729View attachment 1045730
Fa alisema ni siku ya kwanza ya maisha yangu yaliobaki
Hahahaa......... Bado tunasubiri press ya Nassari!
Dogo ana wa beep hajui kuwa Nyie mko mkao wa kulaHahahaa......... Bado tunasubiri press ya Nassari!
Hahahaa........ Jimbo tutampa General Sarakikya!
Wadada mnakwama wapi - JamiiForumsNani nimemfatilia hapa au hujui hata maana ya kufatilia sio?
Nitajie jina la niliemfatilia hapo
sasa yeye kaandika kwa kizungu kwani?Last day of the rest of my life
Kwa kidhungu wala haina maana ya kifo,tatizo ukiitafsiri kwenye kiswahili vumbi linatimka!!!
Bado..Bado hajafa tu?
AfadhaliBado..
Labda anataka afanye cover aseme siku ya mwishoMwanafa alisema "hii ni siku ya kwanza ya maisha yangu yaliyobaki"
Agness[emoji7] [emoji7]Anahitaji ushauri nasaha!