Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Kwa hiyo unaona sifa shida kutotatuliwa majimboniswali:
ni jimbo gani ambalo changamoto zimetatuliwa? tuanzie na ya ccm!
mleta uzi japo najua huna uwezo wa kufanya utafiti lakini utuambie uliongea na watu wangapi huko kigoma? ulitumia dhana gani? wanawake walikuwa wangapi? vijana na wanaume? uliongea na watu wenye mlengo gani wa kisiasa na kwann?
maswali ni mengi
Kweli kabisaWana Kigoma mjini. Ni kweli Zito Kabwe hajui maana ya kuwa mbunge wa jimbo. Anafikri ni mbunge wa Tanzania nzima. Kwa hiyo hafai kuwa mbunge wa jimbo. Lakini sasa siyo rahisi kusema kuwa huyu au yule. Ni juu ya wana Kigoma mjini kuchagua kati ya wale watakaojitokeza. Wasifanye tena kosa la kuchagua mbunge asiye na nia ya kutetea maslahi ya jimbo lake. Na huu ushauri nautoa kwa wananchi wote wa mkoa wa Kigoma. Ni mkoa ambao hauna watetezi na ndiyo maana umeendelea kubaki nyuma miaka yote ya Uhuru wa nchi yetu. Wananchi wa Mkoa huu wanahitaji kujitafakari sana.
twambie jimbo la kongwa kwa ndugai kuna maji, umeme, vijana wa kule wote wana ajira.vinginevyo unasumbuliwa na ujingishwaji mnaoambukizana hapo lumumba! mshindwe kuleta maendleo kwa miaka 50 plus yaletwe na waliochaguliwa juzi.. hayawan wewe
mkuu pohamba haitokuwa rahisi hivyoKwaheri Zitto Ruyagwa Zubeir Kabwe Kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kama Ndugai hajaleta maendeleo na Zito hajaleta maendeleo nini umuhimu wa kuchagua chama cha upinzani ?twambie jimbo la kongwa kwa ndugai kuna maji, umeme, vijana wa kule wote wana ajira.vinginevyo unasumbuliwa na ujingishwaji mnaoambukizana hapo lumumba! mshindwe kuleta maendleo kwa miaka 50 plus yaletwe na waliochaguliwa juzi.. hayawan wewe
Wana ujiji ndiyo walioenda kumshawishi NdalichakoEndeleeni tuuu kumdanganya mama wa watu kwa ahadi ya ujira kiduchuuu
Kwa hapa kigoma ujiji hapawezi maybe apige hodi wilaya za jirani....
Mpeni ushauri na c kutafuta namna ya kumlia pesa zake[emoji125][emoji125][emoji124][emoji124][emoji861][emoji861][emoji860]
ni vyama vya upinzani ndivyo vilivyoibua kashfa ya uzwaji wa za umma kwa nyingine hata kwa mahara .Kama Ndugai hajaleta maendeleo na Zito hajaleta maendeleo nini umuhimu wa kuchagua chama cha upinzani ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi Kigoma Mjini karata ya dini haina guvu sana Waislamu na wakristo pale idadi inalingana , ndiyo maana ilikuwa rahisi Zitto na Serukamba walibadilishana majimbo na wote wakapita. Lakini Kigoma vijijini (kaskazini) Zitto aliambiwa hatukupi kura nenda mjini kuna waislamu wa kutosha (sio majority). Na huko ndio akapita.
Hahaha ana kazi ngumu sana kwa NdalichakoZitto hana mpango, yeye anasema wana Kigoma hawastahili chochote cha furaha eti kwa sababu walishazoea matatizo toka uhuru. Anasubiri uchaguzi ukikaribia awape ahadi hewa zingine ili wamchague.