Uchaguzi 2020 Mshituko: Wananchi Kigoma mjini wamtaka Prof. Joyce Ndalichako

Maelezo ya mtoa mada hayana uzito unaostahili.Kwanza hatuna uhakika kama Mh.Zitto anaongea uzushi,uongo na hatimizi majukumu yake.Pili kampeni bado sana na ni uonevu kuendelea kutaja tajataja Mh.Zitto alifukuzwa CHADEMA wakati huo wewe sio mfuasi wa CHADEMA na yeye ni mfuasi wa chama kingine.Kama Mama atagombea poa tu Kisanduku cha kura kitatoa majibu.
Kila aapishwaye kwa mujibu wa Katiba anawajibika kutumikia Taifa.
 
Ukweli utabaki milele ,kwamba Zito alifukuzwa chadema na Tundu Lisu
 

Wana access ya siri gani ? Mi nachoona wanafunua uozo ambao serikali inataka kuuficha..., kama hakuna uozo kwanini mfiche vitu..., mbona mazuri kila siku yapo kwenye TV hayafichwi ? Kwa mantiki hii na mikataba yote iwe wazi kwa yoyote kutoa mawazo yake.., after all na wenyewe ni watanzania.., kama ni waongo waacheni waongope mwishoni uongo utajitenga sio kuwaziba midomo
 
Mziki wa Zitto Ndalichako hauwezi ni sawa na Tulia ambavyo hayoumudu mziki wa Sugu.
 
Watu kama ninyi wakina elitwege ndio mnaiharibu nchi hii
 
Elitwege,
Ndugu Zitto wala hana wasiwasi na hilo kwani hata akigombea wete atapita tu.
 
Wamtake kwa lipi? Au kile kimombo alichomwaga mpaka wachina wakashindwa kuelewa wanawekwa juu ya minara ya simu au betri!!!
 
😂😂😂mshtuko huo kapata nani?? Prof Ndali aki-go inside??? Kwa kidhungu kile mshtuko lazima uwepo...



Everyday is Saturday...........😎
 
Taarifa nzuri sana!!!daima watu makini huchagua kiongozi makini,mtulivu,mwenye busara,asiye na makuu na Serikali yake Wala watawala wa Nchi,anayeheshimu mamlaka ya Nchi na wananchi,ambaye daima anaisaidia Serikali na kuishauri.
watu wa kigoma mkichagua profesa Ndalichako mtakuwa mmechagua tunu, Nuru na mwanga.na Tena mtakuwa mmechagua kiongozi.

acheni siku nyingine kutuletea watu aina ya Zitto Kabwe mtapata hasara bure ya kuwa na mbunge asiye na meno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…