Mshituko: Wanawake ndiyo wanaongoza kwa pesa mjini

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
5,294
Reaction score
10,970
Baada ya kufanya utafiti wa kina nimekuja na majibu ya kwamba ,sasa hivi wanawake ndiyo wanaongoza kwa kuwa na hela kwenye miji yote mikubwa.

1. Angalia magari mengi yanaendeshwa na wanawake

2. Angalia kwenye stendi zote ,wanawake wanafanya biashara hadi saa sita usiku.

3. Angalia sehemu za magulio na sehemu walizotandaza wamachinga utakuta rundo la wanawake wakichagua nguo kuanzia saa moja asubuhi hadi kuna kucha.

Mapinduzi haya yamenishangaza na huenda ni mojawapo ya sababu ya ndoa nyingi kuvunjika kwa sababu pesa ndiyo kila kitu na ni ngumu sana kumcontrol mtu mwenye pesa.
 
lazma iwe hivo, kwani pesa zao wanazitumia wapi ???
 
Elitwege wewe hujahongwa? Ungohongwavusingekuwa na pichu hili. Ongeza maufundi kitandani
 
Wapo Mkuu wanawake mafanikio yao hayana Mkono wa mwanaume ila wachache sana ,, ila wanawake wengi wanaona ni haki yao kuhongwa,,kufunguliwa biashara kubwa mjini, kujengewa, kununuliwa baby walker ,, nguo ,taulo , wigi nk.


Wanawake wengi mafanikio yao ni mafao ya viuno vyao. Ila wapo wachache wanapaswa kupongezwa sana.

Nataman siku mkubali kuna wanawake wanajitegemea wnyeq sijui kwann mnaamin kila mwanamke mwnye hela anakuwa anafadhiliwa na men
 

Sasa mbn hunipi kongole mkuu ktk hao wachche
 
Sasa mbn hunipi kongole mkuu ktk hao wachche


Duh!! Mkuu mimi sifahamu kama umefika sehemu fulan au la kutokana na hatujuana njee ya hapa JF.


All in all let me congratulate you Manengelo


Nahisigi wewe ni mama wa watoto na mwanamke mchapa kazi na aliye amua kuundoa umasikini Tanzania katika level ya familia .Hongera sana


Na wewe unahisigi mimi ni mtu wa namna gani??..( be free kunijibu hapa )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…