Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,294
- 10,970
Baada ya kufanya utafiti wa kina nimekuja na majibu ya kwamba ,sasa hivi wanawake ndiyo wanaongoza kwa kuwa na hela kwenye miji yote mikubwa.
1. Angalia magari mengi yanaendeshwa na wanawake
2. Angalia kwenye stendi zote ,wanawake wanafanya biashara hadi saa sita usiku.
3. Angalia sehemu za magulio na sehemu walizotandaza wamachinga utakuta rundo la wanawake wakichagua nguo kuanzia saa moja asubuhi hadi kuna kucha.
Mapinduzi haya yamenishangaza na huenda ni mojawapo ya sababu ya ndoa nyingi kuvunjika kwa sababu pesa ndiyo kila kitu na ni ngumu sana kumcontrol mtu mwenye pesa.