Jenerali QoyoJB
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 304
- 160
Nina mashaka na taarifa ulizo nazo ndugu yangu usije ukahukumu bila kuwa na taarifa ya uhakika epuka kulalama, usiende na taarifa ya kuhisi ukampoteza demu wako. Angalia pia watoa taarifa wako ni wakweli kiasi gani na ilikuwa mazingira gani waliwakuta hadi kukuhakikishia ukweli pasipo shaka? wengine wepesi kuhitimisha akiona tu wa jinsia tofauti wamekaa mahala kunywa coca yeye huhitimisha alichoona kwa uwezo mdogo wa kufikiri na kupambanua mambo. Mpe nafasi huyo mtoto ajieleze wala usimgasi kwamba una hiyo taarifa yeye anasemaje, kisha tumia watu wamdadisi jamaa yako kama kweli kamega au naye anasemaje. Kuona mtu akiingia chooni haimaanishi kaenda kunya. Huenda alienda kukojoa, kunya au kufunga zipo, hivyo hivyo kama ni rafiki yako haikuwa ajabu walikutwa mahalai wanakunywa soda na kupiga stori mbili tatu na kama ni shemeji yake wakacheka cheka ambayo wengine watasema wameshamegana.
Tumia psychology kumtizama macho wakati unamhoji demu wako, facial expression itakupa jibu utakuta anajichanganya. apply fomula hiyo pia kwa jamaa usiwe mkali utagundua kama ukweli upo au la. Wanaume huwa tumezaliwa na hulka ya kuona sifa ukishammega mwanamke kuwa ni fahari, hivyo ukimtumia mtu akamdadisi huyo jamaa atajigamba kwamba kweli kamega na huenda akasema demu alijiachia.
Kama si kweli utagundua uso wake kwamba naye anasikitika kusingiziwa na kuzushiwa na pia kukupoteza kama rafiki.kukiwa na ukweli mwenyewe ataaanza kukukwepa hapo huna haja ya kutafiti tena.
Nahisi jambo moja hukutuweka wazi. Je huyo binti ulimtamkia kuwa unataka kumuoa siku moja katika maisha? Kama ni demu tu huna haja ya kulalama kwani yuko huru naye anatafuta wa kumwambia anataka kumuoa. Huwezi kumtumia mtoto wa watu halafu baadaye unamwacha bila maelezo na watu walishamjua kuwa ulimtumia unadhani atakuwa demu wa nani used?
Naomba kuwasilisha ukiwa na jambo unataka ushauri weka jamvini wana Psycholojia wa JF tupo kusaidia.