Mshkaji wa karibu kammega demu wangu

Mshkaji wa karibu kammega demu wangu

Nina mashaka na taarifa ulizo nazo ndugu yangu usije ukahukumu bila kuwa na taarifa ya uhakika epuka kulalama, usiende na taarifa ya kuhisi ukampoteza demu wako. Angalia pia watoa taarifa wako ni wakweli kiasi gani na ilikuwa mazingira gani waliwakuta hadi kukuhakikishia ukweli pasipo shaka? wengine wepesi kuhitimisha akiona tu wa jinsia tofauti wamekaa mahala kunywa coca yeye huhitimisha alichoona kwa uwezo mdogo wa kufikiri na kupambanua mambo. Mpe nafasi huyo mtoto ajieleze wala usimgasi kwamba una hiyo taarifa yeye anasemaje, kisha tumia watu wamdadisi jamaa yako kama kweli kamega au naye anasemaje. Kuona mtu akiingia chooni haimaanishi kaenda kunya. Huenda alienda kukojoa, kunya au kufunga zipo, hivyo hivyo kama ni rafiki yako haikuwa ajabu walikutwa mahalai wanakunywa soda na kupiga stori mbili tatu na kama ni shemeji yake wakacheka cheka ambayo wengine watasema wameshamegana.

Tumia psychology kumtizama macho wakati unamhoji demu wako, facial expression itakupa jibu utakuta anajichanganya. apply fomula hiyo pia kwa jamaa usiwe mkali utagundua kama ukweli upo au la. Wanaume huwa tumezaliwa na hulka ya kuona sifa ukishammega mwanamke kuwa ni fahari, hivyo ukimtumia mtu akamdadisi huyo jamaa atajigamba kwamba kweli kamega na huenda akasema demu alijiachia.

Kama si kweli utagundua uso wake kwamba naye anasikitika kusingiziwa na kuzushiwa na pia kukupoteza kama rafiki.kukiwa na ukweli mwenyewe ataaanza kukukwepa hapo huna haja ya kutafiti tena.

Nahisi jambo moja hukutuweka wazi. Je huyo binti ulimtamkia kuwa unataka kumuoa siku moja katika maisha? Kama ni demu tu huna haja ya kulalama kwani yuko huru naye anatafuta wa kumwambia anataka kumuoa. Huwezi kumtumia mtoto wa watu halafu baadaye unamwacha bila maelezo na watu walishamjua kuwa ulimtumia unadhani atakuwa demu wa nani used?

Naomba kuwasilisha ukiwa na jambo unataka ushauri weka jamvini wana Psycholojia wa JF tupo kusaidia.
 
Nilifikiri demu wako unamuona wewe tu kumbe hata wengine wanayaonaga majini mahaba?bwahabwaha, pole rafiki yangu Ivuga, kama hujawashika redhanded usiwe na mawazo hayo huwezi jua labda tu walijikuta wako close.chunguza kabla ya kufanya maamuzi makubwa
 
halafu wewe utakuwa ni ntu wa waganga sana(wachawi) kwa sababu stori ya majini unaipenda kweli
 
Kama demu wako amemegwa na mshikaji, basi ujue wewe una defficiences fulani fulani katika mwenendo wako wa mapenzi!
Ni muda sahihi kwako kujipeleleza na kuibuka na majibu ya nini unashindwa kumridhisha nacho!
Kukata misaada kwa ndugu na jamaa hakutasaidia kitu, zaidi sana utazidi kuumizwa tena kwa sana...

Sio lazima awe na ham satisfy.....wanawake wengine unakuta ni malaya wa tabia hata umfanyie mazuri yote duniani na kitandani, mwisho wa siku unakuta anamegwa na house boy!
 
wakuu hapa nilipo maleria hadi imepanda kichwani baada ya demu wangu niliyekuwa namwamini kumegwa na mshkaji wangu wa karibu sana ambaye nilishamsaidia sana (kifedha) na hadi kupata kazi
sasa hapa nifanyeje?
nakumbuka kaka yangu aliniambia kuwa nisiwe nasaidia kila mtu
kuanzia leo sitasaidia mtu kitu chochote nadhani hii sio dhambi bora lawama kuliko fedheha, na kama nitakuwa nataka kutoa msaada bora nipeleke kwenye vituo vya kulelea watoto kuliko kumsaidia binadamu.
kimwanamke chenyewe kinajifanya kukataa kimeruka hadi mita mia kukataa
sijui nikiache, kudddkkkki
nawashauri msiwe mnasaidia watu kama sio ndugu yako wa tumbo moja.
na kama huamini ipo siku itakuja kupata yaliyonipata leo

Kusaidia usiache, ila kama demu ana misbehave bwaga, endelea na maisha....life has to go on, sio uanze kuwa na roho mbaya ya kutosaidia mtu. dem wako kumegwa inaweza tokea katika mazingira yoyote, sio lazima iwe kwa mtu wako wa karibu au mtu uliyemsaidia. Inaweza kuwa ni mtu aliyekusaidia ndo anakula demu wako itakuwaje? utakataa misaada kutoka kwake au utabwaga dem na kuendelea kuvuta misaada kutoka kwake?

SONGA MBELE ACHA KULIALIA!
 
Sio lazima awe na ham satisfy.....wanawake wengine unakuta ni malaya wa tabia hata umfanyie mazuri yote duniani na kitandani, mwisho wa siku unakuta anamegwa na house boy!
mkuu nashukuru sana kwa mchango wako, nadhani watu wengi humu wamejisahau wanajua kwa vile wanagawa dozi vilivyo kwa wake zao/wapenzi wao wanafikiri kuwa ndio dawa iliyojitosheleza ya mwanamke kututoka nje
 
Kusaidia usiache, ila kama demu ana misbehave bwaga, endelea na maisha....life has to go on, sio uanze kuwa na roho mbaya ya kutosaidia mtu. dem wako kumegwa inaweza tokea katika mazingira yoyote, sio lazima iwe kwa mtu wako wa karibu au mtu uliyemsaidia. Inaweza kuwa ni mtu aliyekusaidia ndo anakula demu wako itakuwaje? utakataa misaada kutoka kwake au utabwaga dem na kuendelea kuvuta misaada kutoka kwake?

SONGA MBELE ACHA KULIALIA!

umesomeka mkuu
 
Mwanamke kama hajaolewa yupo huru kumegwa na mtu yeyote. Hakuna Sheria inayokulinda kama hujafunga Ndoa. Kwa maana hiyo hakuna kitu kinachoitwa DEmu Wako, kisheria kinachoelewekani MKE WAKO. Halalisha kabla hatuja kumegea na wewe.

Mwanamke kama hajaolewa haruhusiwi kumegwa na mtu yeyote bwana, jamani mbona hata wake za watu wanamegwa, mtu kama ni mmegaji wa mademu wa wenzake hata wake zao atawamega tu!
 
uliza kwanza msaada gani nilimsaidia/?
jamaa alikuja akawa anaishi kwanggu kwa mda so hapo ndio alivyojuana na demu wangu
hope umenipata

Sasa kaa demu kicheche kwa nini ukasirikie rafiki zako? Ungesema jamaa kambaka demu wako ungeeleweka, lakini demu amempa jamaa kwa raha zake wewe unatupigia kelele hapa! acha hizo, we pambana hicho kicheche chako
 
wakuu hapa nilipo maleria hadi imepanda kichwani baada ya demu wangu niliyekuwa namwamini kumegwa na mshkaji wangu wa karibu sana ambaye nilishamsaidia sana (kifedha) na hadi kupata kazi
sasa hapa nifanyeje?
nakumbuka kaka yangu aliniambia kuwa nisiwe nasaidia kila mtu
kuanzia leo sitasaidia mtu kitu chochote nadhani hii sio dhambi bora lawama kuliko fedheha, na kama nitakuwa nataka kutoa msaada bora nipeleke kwenye vituo vya kulelea watoto kuliko kumsaidia binadamu.
kimwanamke chenyewe kinajifanya kukataa kimeruka hadi mita mia kukataa
sijui nikiache, kudddkkkki
nawashauri msiwe mnasaidia watu kama sio ndugu yako wa tumbo moja.
na kama huamini ipo siku itakuja kupata yaliyonipata leo
Kama demu anakataa kuwa amemegwa, wewe unasimamia uhakika upi? Hebu toa ishara zilizokupelekea kuamini kuwa demu wako kamegwa...
 
Back
Top Bottom