Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Usisikilize walimwengu hawana wemaMbona anaonekana bado anampenda sana mke wake π π
Sababu ndio sehemu aliyokua anakojolea mara kwa mara kwani wewe anaekukojolea hakupendi sana?Mbona anaonekana bado anampenda sana mke wake π π
eeh duuuh na jamaa bado anataka warudiane dah kweli love is a misleading image presented to the vision(love is illusion)Yeye hataki afungwe anataka afe
Akina Atupele ni watata sana mkuu? Kuna young bro anataka kuoa huko.Hao kina Atupele Mwakajumba wakikuamulia kimbia hama Nchi kabisa usionekane tena
Oya acha tu mengine sio vizuri hapa kuyaelezea wana mazuri lakini kwenye zuri baya halikosekani kwa hio sitaki kuwazungumzia vibaya ila basi tu mengine tuyaache yapite ubaya ni kitu kimoja wanafanyaga sana ukarimu ila ukiwavuruga wanajitenga km nyama za mishkaki yaan ni hivyo ndio unachoona kinaendelea kwa mwamba but all in all jamaa anapigwa vita apotee kabisa yaan nia ni kumuangamiza kabisa asiwepo kabisa duniani ili mwanamke ajinome na wanae kilichobakia km kuna minofu ya mali mali alizotafuta ndio hizo zinatolewa macho na mwanamke hapoSiwezi oa wanyaki nasikia wana midomo so poa......
Ndo nashangaa huu ni upendo au upuuzi....kitu chochote kisipokuwa na mipaka basi n upuuzi.Mbona anaonekana bado anampenda sana mke wake π π
Hio ni shauri yake mwambie na yeye aende akajichumie dhambi mimi sitaki kuwaongelea sana sio msemaji wao ila awe na tahadhari wanyaki ni wakarimu mwanzoni mnapoanza safari ikichanganya anakuonyesha rangi raangi zingine ambazo mwanzo haukuziona, hapo akili lazima ikurudi na km una mkono mwepesi basi utatupa makofi na ukifanya hivyo tu umejivurugia maana hio vita haitoisha leo wala keshoWanyaki ni watata sana mkuu? Kuna young bro anataka kuoa huko.
Jamaa angemsaidia anachukua kimvuli anamtuliza huyo mwanamke.Anhaa nimeshaisoma hii game, hapa unachoogopa ni mama watoto kupigwa juju ! Usihofu mkuu atakaa sawa juju ikimuingia vizuri inaonekana saivi ana kiburi pro max na anakudharau sana zaidi ya sana
Mwanangu hiyo zaburi siyo nzuri kuisali sali sana, kuna mistari humo inamaanisha yalinikuta mm mtu akapotea mazimaHiyo nzuri basi katika maombi yako ... Uwe unaomba hii zaburi
Zaburi 109:1-3,5-7
[1]Ee Mungu wa sifa zangu, usinyamaze,
(To the chief Musician, A Psalm of David.) Hold not thy peace, O God of my praise;
[2]Kwa maana wamenifumbulia kinywa;
Kinywa cha mtu asiye haki, cha hila,
Wamesema nami kwa ulimi wa uongo.
For the mouth of the wicked and the mouth of the deceitful are opened against me: they have spoken against me with a lying tongue.
[3]Naam, kwa maneno ya chuki wamenizunguka,
Wamepigana nami bure.
They compassed me about also with words of hatred; and fought against me without a cause.
[4]Badala ya upendo wangu wao hunishitaki,
Ijapokuwa naliwaombea.
For my love they are my adversaries: but I give myself unto prayer.
[5]Wamenichukuza mabaya badala ya mema,
Na chuki badala ya upendo wangu.
And they have rewarded me evil for good, and hatred for my love.
[6]Uweke mtu mkorofi juu yake,
Mshitaki asimame mkono wake wa kuume.
Set thou a wicked man over him: and let Satan stand at his right hand.
[7]Katika kuhukumiwa ataonekana hana haki,
Na sala yake itadhaniwa kuwa ni dhambi.
When he shall be judged, let him be condemned: and let his prayer become sin.
Kupotelea wapi tena kuzimu?Mwanangu hiyo zaburi siyo nzuri kuisali sali sana, kuna mistari humo inamaanisha yalinikuta mm mtu akapotea mazima
π€π€Oya acha tu mengine sio vizuri hapa kuyaelezea wana mazuri lakini kwenye zuri baya halikosekani kwa hio sitaki kuwazungumzia vibaya ila basi tu mengine tuyaache yapite ubaya ni kitu kimoja wanafanyaga sana ukarimu ila ukiwavuruga wanajitenga km nyama za mishkaki yaan ni hivyo ndio unachoona kinaendelea kwa mwamba but all in all jamaa anapigwa vita apotee kabisa yaan nia ni kumuangamiza kabisa asiwepo kabisa duniani ili mwanamke ajinome na wanae kilichobakia km kuna minofu ya mali mali alizotafuta ndio hizo zinatolewa macho na mwanamke hapo
Yes, sirπ€π€
Hata kwenye maombi makanisani, tunaelekezwa hakuna kumuonea huruma adui, especially akiwa ni mwanamke mchawi. Piga sanaKwa hapo alipofikia huyu mkeo anaweza kukufanya kitu chochote kibaya hata kukuua......kuwa makini.
ukiwa vitani usimuonee huruma adui
Soon jamaa ataimbiwa palapandaHata kwenye maombi makanisani, tunaelekezwa hakuna kumuonea huruma adui, especially akiwa ni mwanamke mchawi. Piga sana
Ndo maana nimeishia mstari wa 7 tuMwanangu hiyo zaburi siyo nzuri kuisali sali sana, kuna mistari humo inamaanisha yalinikuta mm mtu akapotea mazima
Lkn asiuze au kuwekwa dhamana bila kukupa taa taarifa.Wewe mwite akifika mpe ushahidi wa maandishi na akuambie anataka nini hasa achukue kama ni nyumba Mali akae nazo na wewe hutamfuatilia!!!!
Na wewe nenda kaoe kienyeji hukooo vijijini!
We jaribu hiyo !utaona ataikubali TU hivyo hivyo!anachotaka huyo ni umiliki was Mali!we andika kwamba umemuachia Kila kitu alee watoto!