Mshtuko: Gunia la mahindi lauzwa 135K

Mshtuko: Gunia la mahindi lauzwa 135K

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Haijawahi kutokea!

Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya bei ya mahindi kufikia kuuzwa laki na thelathini na tano kwa gunia la debe sita ambazo ni sawa na kilo 107 hadi 110 kutegemea na uzito wa mahindi.
 
Niliwaambia kijani humu JF, kuna mdau wa nafaka alitoa angalizo serikali izuie uuzwaji wa mahindi nje ila raia wakawa wanabisha eti wakulima msiwapangie.
Ajabu ni kwamba hao wakulima mahindi hawana, wala sio walioyauza kwa bei mbaya bali ni wafanyabishara. Mahindi yenyewe kiasi kingi kiko nje ya nchi. Ruto mojawapo ya ahadi zake ni kupunguza bei ya mahindi hadi 70 KES, hayo mahindi hawana ila wanayachukua kwetu. Wakenya wananunua mahindi mengi wanaenda hifadhi kwao, sisi maghala ya chakula hayana uwezo huo.

Sasa chakula kipande, gharama za maisha nyingine zipande na wafanyibiashara wapandishe bei tuone hao wakulima waliokuwa wanatetewa watakavyoneemeka. Hakuna siri kwamba wakulima wengi ni kipato cha chini, mfumuko wa bei unawaathiri.
Ukishakuwa na mafuta bei juu na chakula bei juu kwa nchi zetu hizi unakuwa na hali ngumu zaidi
 
Haijawahi kutokea!

Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya bei ya mahindi kufikia kuuzwa laki na thelathini na tano kwa gunia la debe sita ambazo ni sawa na kilo 107 hadi 110 kutegemea na uzito wa mahindi.
Mama anaupiga mwingi
 
Ikibidi mnunue mil.1 kabisa kama hutaki nenda kalime uje uuze 60,000..

Na Bado.

Wakulima awamu ya 6 ndio ya kunufaika na jasho lako maana anaweza kuja taahira kama wa awamu ya 5 akaanza kuwalisha maneno ya Tzn ya wanyonge huku mnapigika na Mazao yenu hayana soko.
 
Pale raia wa nchi nyingine wanapotujaza upepo na kuja na ushauri mbaya nasi tunafuraia........
 
Pale raia wa nchi nyingine wanapotujaza upepo na kuja na ushauri mbaya nasi tunafuraia........
Kalime harafu waje na huo ushauri wa food security afu uone moto..

Kwanza mtawapata peasant wapumbavu wale ambao mlikuwanawaambia ni wanyonge ila mimi kamwe siwezi kulima Ili Nike kukufurahisha wewe wa mjini unless Serikali inunue Kwa bei itakayonilipa..
 
Safi kabisaa... Ni muda wa wakulima kumake!!
 
Back
Top Bottom