Mshtuko: Gunia la mahindi lauzwa 135K

Mshtuko: Gunia la mahindi lauzwa 135K

Hiyo bei ni ya wapi mkuu, ninagunia 60 nipeleke huko
 
Haijawahi kutokea!

Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya bei ya mahindi kufikia kuuzwa laki na thelathini na tano kwa gunia la debe sita ambazo ni sawa na kilo 107 hadi 110 kutegemea na uzito wa mahindi.
Wapi hiyo Bei mkuu?
 
Debe sita = kilo 120
 
Back
Top Bottom