Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Hatari!Ni mbanano kila kona !! aisee !!
Mafuta Petrol
Mfuta kupikia
Unga
Mchele
Tozo
uwiiiiiii
Laki na thelathini na tano135K ndio sh ngapi
Uhalisia v/s tambo za mawaziriHaijawahi kutokea!
Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya bei ya mahindi kufikia kuuzwa laki na thelathini na tano kwa gunia la debe sita ambazo ni sawa na kilo 107 hadi 110 kutegemea na uzito wa mahindi.
Muasisi"Ukiona bei ya mahindi iko juu kalime yako "👇👇👇👇
Mama anaupiga mwingiHaijawahi kutokea!
Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya bei ya mahindi kufikia kuuzwa laki na thelathini na tano kwa gunia la debe sita ambazo ni sawa na kilo 107 hadi 110 kutegemea na uzito wa mahindi.
DuhLaki na thelathini na tano
Siyo kweli!Muasisi
Ikibidi mnunue mil.1 kabisa kama hutaki nenda kalime uje uuze 60,000..Haijawahi kutokea!
Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya bei ya mahindi kufikia kuuzwa laki na thelathini na tano kwa gunia la debe sita ambazo ni sawa na kilo 107 hadi 110 kutegemea na uzito wa mahindi.
Kweli hii ni hatari.Hatari!
Sasa kununua debe sita Kwa hela hiyo kuna shida gani? Smartphone tu enyewe huwezi kupata kwa hiyo Bei.Laki na thelathini na tano
Pale raia wa nchi nyingine wanapotujaza upepo na kuja na ushauri mbaya nasi tunafuraia........Ikibidi mnunue mil.1 kabisa kama hutaki nenda kalime uje uuze 60,000..
Na Bado.
Wakulima awamu ya 6 ndio ya kunufaika na jasho lako maana anaweza kuja taahira kama wa awamu ya 5 akaanza kuwalisha maneno ya Tzn ya wanyonge huku mnapigika na Mazao yenu hayana soko.
Kalime harafu waje na huo ushauri wa food security afu uone moto..Pale raia wa nchi nyingine wanapotujaza upepo na kuja na ushauri mbaya nasi tunafuraia........
Hawa jamaa hawajui kilimo kilivo kigumu!tunataka bei ya kishikwambi ifanane na bei ya gunia sita za mahindi.Sasa kununua debe sita Kwa hela hiyo kuna shida gani? Smartphone tu enyewe huwezi kupata kwa hiyo Bei.