Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,886
- 1,038
hizo ni dalili za upungufu wa shehena kwenye kichupa
tatizo unakikwangua sana acha kijae jae
Duuuh...siyo kwamba shehena imejaa sana na hazijatolewa, zimeanza kushika kutu?
Je unatabia ya kuzibua vyoo? Tuanzie hapa kwanza..Jamani acheni masihara nipeni ushauri wa kweli na dawa
Aiseeee.....hizo ni dalili za upungufu wa shehena kwenye kichupa
tatizo unakikwangua sana acha kijae jae
sperm industry imekufa mtu wng
Kwanza ni pumbu ya kushoto au ya kulia...? Mara nyingi pumbu ya kushoto ndio inaletaga shida sana
Ya kulia mkuu ndio inauma
Habari Wana JF. Jamani pumbu langu la kulia linakuwa na mshtuko wa maumivu kwenye mshipa mdogo pindi mbegu za kiume zinapotoka lakini ninapokuwa nasugua mzigo, kutembea au hata nikibinya hakuna maumivu yoyote. Naombeni msaada haraka wakuu ili niendelee kula mizigo kwa raha. Huo ni ugonjwa gani au ni dalili za ugonjwa gani? Dawa kwa alienayo? Kila siku napiga kimoja vipi inaweza kuwa chanzo cha TATIZO?