Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,886
- 1,038
Habari Wana JF.
Jamani pumbu langu la kulia linakuwa na mshtuko wa maumivu kwenye mshipa mdogo pindi mbegu za kiume zinapotoka lakini ninapokuwa nasugua mzigo, kutembea au hata nikibinya hakuna maumivu yoyote. Naombeni msaada haraka wakuu ili niendelee kula mizigo kwa raha.
Huo ni ugonjwa gani au ni dalili za ugonjwa gani? Dawa kwa alienayo? Kila siku napiga kimoja vipi inaweza kuwa chanzo cha TATIZO?