We Madame B kalapina yupi unajigonga kwake? Ni huyu mwanamuziki anaishi hapa kinondoni karibu na Hugo? Si aligombeaga ubunge huyu? Mtawezana kweli au unatafuta kutolewa manundu?
Ben Saanane atabaki kuwa mume wangu daima dawamu.
Saa Nane anaingiaje kwenye hii thread? Acheni mambo ya kijinga! Mnadhalilisha jukwaa!
Ponda mama ponda laifu! Kwanini uinyime nafsi bizaa zilizosheheni chekwaa! Na zenye bei ya jioni? Btw tutaftie Rozari au Tasbihi itusaidie tukitamani kukaunti idadi ya Saccoss!
Maumivu ya kichwa huanza poole pole...
Copy: Ben Saanane kwa taarifa.
Huyu Mademe B si ndio alikuwa anamuambia MziziMkavu akirudi home kutoka Ughaibuni aje ampachike mimba? Eti anataka kupata mtoto wa kiarabu duh kiukweli Ben saa8 umebugi kwa huyu mmatheri ni daladala ile mbaya. Ushauri wangu kwa BEN SAA8 chukua taraka upotee Kala anaweza kukutoa manundu mwanangu.
We CHAMVIGA, MziziMkavu alisema anataka aje atupachike ujauzito wadada wa Jf, sasa mie kwa kuwa mwanangu nilienae ni kaarabu,nataka nimtafutie kaarabu kenzie ka kucheza nae.
Hatuachani na Ben nguu.