Mshtuko Mkata: Wananchi waandamana hadi kituo cha Polisi kushinikiza mwananchi mwenzao aachiwe

Mshtuko Mkata: Wananchi waandamana hadi kituo cha Polisi kushinikiza mwananchi mwenzao aachiwe

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Ni huko Mkata Handeni Tanga.

Wananchi wamechoshwa na uonevu?

Huenda.
 
... sababu ya huyo/hao wananchi kukamatwa ni ipi?
 
Huyo mwananchi ni nani na amefanya nini? Je wananchi mpaka wameandamana maanaake hawakuridhika na hatua zilizochukuliwa na polisi.
Leteni habari kamili
 
sasa hawa watu wa mkata siwatumie tu ile technolojia yao maarufu kuwasambaratisha hao jamaa na kuchukua ndugu zao... sasa hao waganga na hizo bendera nyekundu kila nyumba kazi yake nini....
 
Back
Top Bottom