Huyo mwananchi ni nani na amefanya nini? Je wananchi mpaka wameandamana maanaake hawakuridhika na hatua zilizochukuliwa na polisi.
Leteni habari kamili
sasa hawa watu wa mkata siwatumie tu ile technolojia yao maarufu kuwasambaratisha hao jamaa na kuchukua ndugu zao... sasa hao waganga na hizo bendera nyekundu kila nyumba kazi yake nini....